Kuhusu Sirro; Kwa muda aliokuwa IGP na idadi ya watu waliouawa Pwani, anapaswa kujiuzulu/kutumbuliwa

Naombeni LI.PUMB..A ACHUNGUZWE,achunguzwe na wanchi/wanachama wake,na sio vyombo vya serikali

Huyu mtu sio salama sana.
 
HUYU SI NDO KATEULIWA JUZI JAMANI,YAN NDO KWANZA ANAFUTA OFISI VUMBI???!
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
mkuu, IGP mpya ni kada wa chama chao.
nadhani yupo busy kwenye vikao vya chama kuwafurusha CUF na Chadema..
 
``Ukiona wapinzani wako wanalalamika,ujue umegonga penyewe`` in jpm's voice. Rejea maandishi ya mtatiro alivyokuwa analalamika
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
Wewe unahusika nini mbona inaonekana kama unafurahia mambo haya?
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo

Mimi bado kukuelewa,hebu fafanua zaidi,ulitaka sirro atumie mbinu IPI kwa kumsaidia
 
unaambiwa hawa magaidi wana kambi nyamisati,kibiti,ikwiriri na kilwa tena wana silaha nyingi ambazo husafirishwa kwa njia ya bahari kupitia bandari ya nyamisati.

tukiwa tunasubiri kundi hili litokomezwe kumbe walishajiandaa zaidi ya miaka 4 iliyopita ikiwa ni pamoja na kuwa na mahandaki ya kutosha
Mzee unainformation
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
sawa tu..moto kwa moto. wanakuja ki al shabaab lazima kuwafyeka. wanaua watendaji polisi na wanaccm tu huko rufiji kama hao sio cuf ni nani.
 
Hawa magaidi waliwatengeneza wenyewe, walivyokuwa wanaambiwa vijana wanaenda Somalia kujitolea wakadhani kuwa watapigana huko huko kumbe wenzao wana mipango mingi mbeleni kurudi hapa na kutetea wanaloliamini....sasa muda wao umefika, Sirro apambane kimkakati......kwanza supply yao ya pesa na silaha wazikate na wazijue pili viongozi wao na madalali wote.....waue kambi zao zote za siri na wanapoficha silaha....jinsi wanavyosafirisha n supply ya risasi.....baada hapo kundi litasambaratika....wakiwa hawana vyote hapo juu....hii vita ya imani sio mchezo
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
Mkuu suala la kibiti ni kubwa kuliko alivyotegemea. Hili linahitaji inteligensia ya hali ya juu. IGP kaenda kuonge na wazee, anaondoka tu huku nyuma hiyo miharamia inaanza kuua wananchi utafikiri kuku!!! Mi inaniuma sana. Yaani ndugu zetu wanaishi kwa hofu sana tanzania hii hiii. Tena wako hapo tu karibu. Hao watu tusipoangalia watafika hadi hapa dar. Watanzia otskirts za mji ambako hakuna maendeleo. Yaani Mungu atusaidi hili jipu litumbuliwe haraka. Ila wanaomjua IGP wanasema yuko vizuri. Tusubiri atengue hiki kitendawili.
 
sawa tu..moto kwa moto. wanakuja ki al shabaab lazima kuwafyeka. wanaua watendaji polisi na wanaccm tu huko rufiji kama hao sio cuf ni nani.
Sidhani kama ni CUF maana hata CUF wanauwawa. Mwenyekiti wa kijiji aliyetekwa au kuuliwa ni wa CUF!!!!
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
Mkuu Mtarban kinachoendelea Kibiti ni zaidi ya kinavyoonekana kwa nje. Upo uwezekano wa haya yanayofanyika kuwa ni matokeo ya mkakati wa muda mrefu wa hawa jamaa.

Hivyo kukabiliana nao sio kitu kidogo kama sisi tunasioielewa inteligensia vizuri tunavyoweza kudhani.
 
Back
Top Bottom