Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,505
- 8,256
Bila shaka utakua mwenyeji wangu hapo Mwanza mwezi saba mkuu
Shaka ondoa
Bila shaka utakua mwenyeji wangu hapo Mwanza mwezi saba mkuu
Hongereni sana mwanza, huku dar na moro ni kuna shida ya maji ile mbaya....may be wakubwa wanafanya biashara hii ya maji. Ila ni kero mno kuhusu maji katika miji hii....
Halafu cha ajabu, wanadai bill ya maji eti....aisee, sijui kwanini wanatufanyia hivi sie watu wa mashariki? Ina niuma saana mie, leo hapa tabata kimanga ndo maji yametoka..watu wamefanya sherehee. Ila kule kihonda kaskazini maboma hata tone la maji hakumaa .......daaaahhh, ina kera sana...Poleni sana, huwa napata shida sana ninapotembelea ndugu zangu pale dar na kirakala moro, masuala ya kuoga maji robo ndoo sijazoea kabisa, kwenye bafu wameweka mabomba ya mvua lakin yamekuwa mapambo
Halafu cha ajabu, wanadai bill ya maji eti....aisee, sijui kwanini wanatufanyia hivi sie watu wa mashariki? Ina niuma saana mie, leo hapa tabata kimanga ndo maji yametoka..watu wamefanya sherehee. Ila kule kihonda kaskazini maboma hata tone la maji hakumaa .......daaaahhh, ina kera sana...
tanga ni majini na ushoga heri nibaki moro
Huku nane nane yametoka robo saa tu mpaka muda huu bado tunasubiria labda saa sita usiku yatatoka,
Duh..poleni sana, ila nini kifanyike ndugu katika hili tatizo?Huku nane nane yametoka robo saa tu mpaka muda huu bado tunasubiria labda saa sita usiku yatatoka,
mkuu kwa nini umejiita twatwatwa? nakumbuka hili jina ni moja ya vijiji vya jamii ya kimasai huko kilosamaji yatiririka milimani ohoo. Morogoro ohoo kweli yapendeza kuna milima na mabonde. Sisi tunaokaa kihonda tunaishukia sana manispaa yetu maji ni sheeda kwa kweli
Nimekaa hapa mwaka wa kumi na mbili sasa maendeleo ni madogo sana,mzunguko wa hela ni mdogo sana
Umenena vyema mtu wa home.Naipenda morogoro yangu nimesoma hapo na nimekulia hapo naamini nitarud hapo ipo siku. Nyumbani ni nyumbani jaman semeni yooote ila matunda na vyakula vyakumwaga
Hayo maeneo ya Mtawala mpaka Masika ni maeneo ya kuwekeza sio makazi ya watu ata waliokaa ni kwa kufosi tu wenyeji. Mbona hausemi maeneo ya Liti, msufini, forest, modeco etc etc.
Soko la moro ni siasa ndio inalikwamisha, lile soko linatakiwa kujengwa upya ila wazawa wameweka pingamizi court lisivunjwe....lile soko ni la zamani so limetitia.
Alafu kuhusu kuwepo vibanda vya hovyo kumbuka hii ni third world hakuna mkoa utaenda usikute hayo, ata hapa Dsm . Cha muhimu km umeona havifai basi ndio fursa ya kuwekeza sio kulaumu tu.
Wewe unajua what it takes kaka. Big upHayo maeneo ya Mtawala mpaka Masika ni maeneo ya kuwekeza sio makazi ya watu ata waliokaa ni kwa kufosi tu wenyeji. Mbona hausemi maeneo ya Liti, msufini, forest, modeco etc etc.
Soko la moro ni siasa ndio inalikwamisha, lile soko linatakiwa kujengwa upya ila wazawa wameweka pingamizi court lisivunjwe....lile soko ni la zamani so limetitia.
Alafu kuhusu kuwepo vibanda vya hovyo kumbuka hii ni third world hakuna mkoa utaenda usikute hayo, ata hapa Dsm . Cha muhimu km umeona havifai basi ndio fursa ya kuwekeza sio kulaumu tu.
Nadhani Ulitakiwa Uzingatie Jinsi Ya Kutunza Afya Yako Na Siyo Kulaumu Mkoa Wa Morogoro. Hivi Ungepata Demu Wa Morogoro Halafu UKAMBANDUA Kavukavu ( Bila Condom ) Na Kupata Maambukizi Ya VVU Kisha UKIMWI Ungejilaumu Wewe Mwenyewe Kwa UPOPOMA Wako au Ungeulaumu Mkoa Mzima Wa Morogoro? Kweli Sasa Nimeamini Kuwa Watu Tunapishana Kwa Kuwa Na UPEO Na AKILI Ya Kuchambua Masuala. Safari Bado Ni Ndefu Sana!
Ha haaa haaa haaa...Haya mchambuzi wa kimataifa na mtu wenye akili kupita wote humu ndani