Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
- Thread starter
- #21
Nimeuziwa power bank feki juzi makuti! ishirini yangu ina umaa
Mkuu pole sana, ila bei ya vitu mkoa huu ni ghari sana sijui nikwasababu gani?
Nimeuziwa power bank feki juzi makuti! ishirini yangu ina umaa
Panamfaa afande sele hapo uchaguzi ukifika msifanye makosa
sasa hio ya maji kwa baada ya siku 12 mbona ipo sana hata sebuleni kwenu Daslaam..pita maeneo ya Sinza,kjtnyama na kote tuu kuna mabomba lakini hayatoi maji hadi yanaota kutu...mimi unyamwezini siondoki banaa hata wanifungie kwenye sanduku la chuma na kufuli juu natoka narudi mamtoni..mamtoni ni mamtoni tu maji bwerereeee!!!hapo sasaaa.huku nanenane tumeshaona nikawaida yaani maji hutoka kila baada ya siku 12, nashindwa kujua nikwalipi moro imefanya vizuri na inastahili pongezi kwani kila kitu naona kawaida sana.
Mimi nilipokuwa nasoma Mzumbe niliambulia typhoid bora hata ningeenda vyuo vingine, I hate Morogoro sana
Mimi nilipokuwa nasoma Mzumbe niliambulia typhoid bora hata ningeenda vyuo vingine, I hate Morogoro sana
Nimekaa hapa mwaka wa kumi na mbili sasa maendeleo ni madogo sana,mzunguko wa hela ni mdogo sana
sasa hio ya maji kwa baada ya siku 12 mbona ipo sana hata sebuleni kwenu Daslaam..pita maeneo ya Sinza,kjtnyama na kote tuu kuna mabomba lakini hayatoi maji hadi yanaota kutu...mimi unyamwezini siondoki banaa hata wanifungie kwenye sanduku la chuma na kufuli juu natoka narudi mamtoni..mamtoni ni mamtoni tu maji bwerereeee!!!hapo sasaaa.
Acheni majungu, ukiondoa Dsm, arusha na mwanza hakuna mkoa mzuri kwa maisha kama Morogoro. Kuhusu uzuri wa mji labda umeishia msamvu ila ukiingia town ni bonge la mji.
Maji tele labda kama unakaa nje ya mji, vyakula easy,biashara unafanya ukiwa mjanja etc etc.
Mkuu tazama nyumba zilizo sehemu ya kuanzia msamvu kuelekea mjuni kama mtawala, komoa hadi masika hazikutakiwa kua hivyo na tuligemea sehemu hizo kwa serikali na miji iliyomakini pangekua na nyumba na vitega uchumi safi, tazama soko kuu lilivyo, tazama maeneo yanayozunguka msamvu hasa upande wa kulia kuekea Dar hapakupaswa kua vile kwani ni mahali pazuri kiuchumi ila pameachanizwa kwa kujenga vibanda visivyo na tija sana....
Ila Moro nisehemu ambapo binafsi napaona nipazuri sana kwa kuishi hasa pembeni ya mji ila vumbi lililo baadhi ya mitaa ya moro unaweza kata tamaa ya kuishi mkoa wa morogoro.
Hayo maeneo ya Mtawala mpaka Masika ni maeneo ya kuwekeza sio makazi ya watu ata waliokaa ni kwa kufosi tu wenyeji. Mbona hausemi maeneo ya Liti, msufini, forest, modeco etc etc.
Soko la moro ni siasa ndio inalikwamisha, lile soko linatakiwa kujengwa upya ila wazawa wameweka pingamizi court lisivunjwe....lile soko ni la zamani so limetitia.
Alafu kuhusu kuwepo vibanda vya hovyo kumbuka hii ni third world hakuna mkoa utaenda usikute hayo, ata hapa Dsm . Cha muhimu km umeona havifai basi ndio fursa ya kuwekeza sio kulaumu tu.
Hamia Darhuku nanenane tumeshaona nikawaida yaani maji hutoka kila baada ya siku 12, nashindwa kujua nikwalipi moro imefanya vizuri na inastahili pongezi kwani kila kitu naona kawaida sana.