Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Moro nilikaa Kiwanja Cha Ndege maji ilikuwa ni Shida,nikahamia Mazimbu Kule mbele ya Neema Dispensary,yaani maji ilikuwa full kujiachia kila siku yanatoka kuanzia saa tisa mpaka saa moja asubuhi.Maisha ni poa tu.Ila Sehemu.nyingine maji ni Shida lkn huwezi linganisha na Dar.Ni junction nzuri sana Moro.Ila sio mji mkubwa ni mji mdogo lakini unakua kwa kasi.Halafu pale kati mjini,na kule manzese yale maeneo yangeendelezwa kwa kujengwa majumba makubwa.