Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Leo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake.

Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi

IMG_0226.jpg

Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu zamani sana tokea milenium tower makumbusho.

Hii project alikuwa nayo tokea zamani ikabidi nimuulize .

Nyie WCB embu kuweni na aibu na vitu vingine.

IMG_0225.jpg

Mshikaji wangu ndio project hiyo na tokea mwanzo alikuwa na hii kitu.

IMG_0227.jpg

IMG_0228.jpg

IMG_0229.jpg
 
Rayvanny sio ya kwake ! labda ujanielewa
Maelezo bila hard facts unakuwa hater tu, the boy is achieving some goals whilst haters are busy hating.
One of his managers Babu Tale aliliongea hili muda mrefu kuwa dogo anakuja na surprise ya uwekezaji and mind you this franchise is gonna be a chain of restaurants around Tz, keep on hating.
 
subiri basi maana nilipo jikoni mwenye hiki kitu
 
Back
Top Bottom