Ungekua wewe ungemshauri nini?

Ungekua wewe ungemshauri nini?

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
2,256
Reaction score
3,890
Huyu ni jamaa yangu ambae tumefahamina yapata miaka mitatu sasa kupitia masuala ya kazi, kwenye suala la maisha naweza sema sio mabaya sana kwani ukiwa na nyumba na usafiri kibongo bongo ukipata hivyo vitu angalau shida ndogo ndogo zinakua hazipo.

Ipo hivi mwamba ana mke na watoto wawili mapacha kwa sasa wanakaribia miaka sita, miezi kama mitano nyuma alipata mchepuko ambae alikua amezinguana nà mumewe na huo mchepuko ana mtoto mmoja ambae alizaa na huyo mumewe.

Ndani ya hiyo miezi mitano ya mahusiano na mchepuko imetokea akapata ujauzito kwenda kucheki kwa vipimo vya ultrasound ikaonekana mchepuko una pacha akamwambia atulie watalea.

Mwezi mmoja mbele mkewe nae akawa hamuelewi mara kutapika mara kuumwa ikabidi aende hospital kumcheki napo ikaonekana ana pacha mwamba hapa sasa akawa kama kavurugwa.

Kwa kipato chake akaona hii ngoma inaenda kua ngumu ikabidi amshawishi mchepuko ajirudi kwa mumewe, lengo apunguze gharama za maisha huko mbele ya safari. Kweli mchepuko ukaanza kuomba msamaha kwa aliyekua mumewe hatimae wakarudiana, lengo likiwa ni wakisharudiana na mumewe mchepuko uwe unampa mbususu bila ya kumbania ili asije elewa chochote pindi masuala ya mimba yatakapojitokeza.

Binafsi nilimuuliza vipi kuhusu hiyo mimba ambayo una asilimia 99 ni ya kwako vipi watoto wakizaliwa, alichonijibu hilo kwa sasa tuliache tutajua mbele itakavyokua.

Mchepuko umekubali kufanya yote hayo kwa kua anampenda sana jamaa na alikua hayupo tayari kumpoteza maana mwamba alimpiga biti kama hamsikilizi anachomwambia watashindwana na jamaa alikua anamzingatia kwa mahitaji yake yote kipindi ametengana na mumewe yupo kwao ikabidi akubali.
 
Naam ngoja wadau watakuja kukupa ushauri. Jf haitakuangusha.
 
Sasa shida yako ni nn??

Mbona hii thread sio kamili 🤔🤔.
 
Wacha tusubiri wakija duniani hao mapacha kisha urudi tumpe ushauri.

Asiuze gari tu.
 
Mchepuko umependea mahitaji yote muhimu.
 
Huyu ni jamaa yangu ambae tumefahamina yapata miaka mitatu sasa kupitia masuala ya kazi, kwenye suala la maisha naweza sema sio mabaya sana kwani ukiwa na nyumba na usafiri kibongo bongo ukipata hivyo vitu angalau shida ndogo ndogo zinakua hazipo.

Ipo hivi mwamba ana mke na watoto wawili mapacha kwa sasa wanakaribia miaka sita, miezi kama mitano nyuma alipata mchepuko ambae alikua amezinguana nà mumewe na huo mchepuko ana mtoto mmoja ambae alizaa na huyo mumewe.

Ndani ya hiyo miezi mitano ya mahusiano na mchepuko imetokea akapata ujauzito kwenda kucheki kwa vipimo vya ultrasound ikaonekana mchepuko una pacha akamwambia atulie watalea.

Mwezi mmoja mbele mkewe nae akawa hamuelewi mara kutapika mara kuumwa ikabidi aende hospital kumcheki napo ikaonekana ana pacha mwamba hapa sasa akawa kama kavurugwa.

Kwa kipato chake akaona hii ngoma inaenda kua ngumu ikabidi amshawishi mchepuko ajirudi kwa mumewe, lengo apunguze gharama za maisha huko mbele ya safari. Kweli mchepuko ukaanza kuomba msamaha kwa aliyekua mumewe hatimae wakarudiana, lengo likiwa ni wakisharudiana na mumewe mchepuko uwe unampa mbususu bila ya kumbania ili asije elewa chochote pindi masuala ya mimba yatakapojitokeza.

Binafsi nilimuuliza vipi kuhusu hiyo mimba ambayo una asilimia 99 ni ya kwako vipi watoto wakizaliwa, alichonijibu hilo kwa sasa tuliache tutajua mbele itakavyokua.

Mchepuko umekubali kufanya yote hayo kwa kua anampenda sana jamaa na alikua hayupo tayari kumpoteza maana mwamba alimpiga biti kama hamsikilizi anachomwambia watashindwana na jamaa alikua anamzingatia kwa mahitaji yake yote kipindi ametengana na mumewe yupo kwao ikabidi akubali.
Aisee
 
Mi nilivyo na wivu sitakaa niweze kuwa na mume wa mtu.
Naweza fanya kitu kibaya.

Yaani nina mimba yako ya twins badala univute karibu wee unaniambia nirudiane na mtu mwingine?

Nikiwaza mkeo ndo anasababisha usiwe na mimi naweza muua tukose wote.

Michepuko mnawezaje kupenda mtu unayejua wazi ana mtu mwingine anampenda zaidi yako?
Uko serious unaweza kuua mtu kisa tu wivu wa mapenzi?
 
Back
Top Bottom