Andika vizuri..Nomba kuuliz ni tunchk porofl zetu au
Andika vizuri..Nomba kuuliz ni tunchk porofl zetu au
Mtakuwa mnakosea ku format index number.inatakiwa kuachanisha ceter namber na namba ya mwanafunzi kwa nukta sio mkato.mfanoWadau naombeni kuuliza kwa wale walioomba mikopo bodi ya mikopo, mkiingia kwenye akaunti zenu mnakuta mmeandikiwa nini? Mi nimewaangalizia watu wawili nakuta wameandikiwa hawakuomba mkopo kwa mwaka huu! Na wakati wameomba na fomu za maombi wakatuma kwa ems kama bodi walivyoelekeza. Nyie mnaona nini kwenye akaunti zenu?
Natanguliza shukrani.
Wadau naombeni kuuliza kwa wale walioomba mikopo bodi ya mikopo, mkiingia kwenye akaunti zenu mnakuta mmeandikiwa nini? Mi nimewaangalizia watu wawili nakuta wameandikiwa hawakuomba mkopo kwa mwaka huu! Na wakati wameomba na fomu za maombi wakatuma kwa ems kama bodi walivyoelekeza. Nyie mnaona nini kwenye akaunti zenu?
Natanguliza shukrani.
Jaribu vzr inafungukaMimi kwangu haifunguki
Soma toka juu utaelewa jinsi ya kufanyaprofile
Database yao ndo ina kutu,ngoja tusubiri taarifa zao maana naamini malalamiko haya watayasikiaUKIANDIKA HIVI INAGOMA
![]()
S/076/075/2013
![]()
![]()
JARIBU KUANDIKA HIVI
![]()
S076.075.2013
![]()
![]()
Ina kutu kwlHii kitu naona ni wote tumeandikiwa hvyo, itakuwa database ya HESLB ina kutu
Umejaribu ukitenganisha kwa mkwaju akaunti inafunguka?Mtakuwa mnakosea ku format index number.inatakiwa kuachanisha ceter namber na namba ya mwanafunzi kwa nukta sio mkato.mfano
S2078.0056.2009
Iafunguka kabisa but unaambiwe ujaaply mkopo this yearMtakuwa mnakosea ku format index number.inatakiwa kuachanisha ceter namber na namba ya mwanafunzi kwa nukta sio mkato.mfano
S2078.0056.2009
Iafunguka kabisa but unaambiwe ujaaply mkopo this year
kupata chuo binde mkopo nao mbinde ajira ndo kabsaaaa shikamoo tanzaniaduuuuuu ngj tusubiriee
Unajua jinsi ya kufungua profile yako? Kisha angalia ujumbe ulio katika mstari mwekundu.Unaangaliaje kwenye profile
Yaani ovyo kabisakupata chuo binde mkopo nao mbinde ajira ndo kabsaaaa shikamoo tanzania