Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 575
Ni kweli wameandika hivyo,nadhani ni error tu watabadilisha
Ndio, au fomu gani unauliza?Aisee! Na form uliiprint na kuituma heslb?
Haujui kweli? Au unazngua tuJaman wakuu naomben mnielekeze namna.ya kuingia kweny account n details gan unatakiwa kuzijaza ili kuingia? Pls
Mkuu kabwekasoma nawezaje kuangalia? Hebu nipe njia ya kuangaliaKuna mtu nimemchekia ameandikiwa succefully
Naingiaje mkuuHatupotoshani mkuu, we kama uliapply ingia kwenye akaunti yako uone umeandikiwa nini
Nilienda cafe nikawanatoa detail tuUnakumbuka wakati wa kuomba mkopo ulifanyaje?