rapharacker
Member
- Jul 22, 2016
- 64
- 23
Bado hawajatoa majna ya mkopo nyie mnapoteza tu mda
Successfully ndiyo nini? Jieleze vizuri mkuu. Unataka kuvuruga profikes za watu?
Hahahaa watu wamechanganyikiwa kwelhuyo ali logout akaandikiwa *You have successfully logout* sa akahisi ndo succesfully secured the loan kumbe majanga
Kazi kweli kweli. Alikuwa anashawishi waombaji wamtumie Form Four Index No. na Password zao awasaidie kuangalia! Sijui ana lengo gani, watu hamjuani badala ya kutoa ushauri anataka kuibgilia usiri wa wengine.huyo ali logout akaandikiwa *You have successfully logout* sa akahisi ndo succesfully secured the loan kumbe majanga
Kazi kweli kweli. Alikuwa anashawishi waombaji wamtumie Form Four Index No. na Password zao awasaidie kuangalia! Sijui ana lengo gani, watu hamjuani badala ya kutoa ushauri anataka kuibgilia usiri wa wengine.
Hahahaa watu wamechanganyikiwa kwel
As I told you vilio vinafata na huu n mwendo wa kuisoma namba unaendelea
kwan fomu ya mkopo uliidownload WAP?Nijuzeni hiyo account ni ipi na unaingilia wap

Hata kama hawajayatoa hua wanaweka loan a location kwenye profile lako, na kama hujapata wanakueleza na wanakupa sababu kwa nini hujapata inaweza ukawa pia unavigezo vyote vya kupata ila pesa hakuna watakuambia "budget exhausted" na mambo mengine mengi hivyo ni bora ukaangalia profile lako kama ni miongoni mwa wanaotegemea mikopo ili ujue nini cha kufanya mkuuBado hawajatoa majna ya mkopo nyie mnapoteza tu mda
Ndo wanasema sasa hatujaapply mwaka huu 2016/2017Hata kama hawajayatoa hua wanaweka loan a location kwenye profile lako, na kama hujapata wanakueleza na wanakupa sababu kwa nini hujapata inaweza ukawa pia unavigezo vyote vya kupata ila pesa hakuna watakuambia "budget exhausted" na mambo mengine mengi hivyo ni bora ukaangalia profile lako kama ni miongoni mwa wanaotegemea mikopo ili ujue nini cha kufanya mkuu
Mmmmmh ni hataree ni kweli watu hatujuani nasiio vizurKazi kweli kweli. Alikuwa anashawishi waombaji wamtumie Form Four Index No. na Password zao awasaidie kuangalia! Sijui ana lengo gani, watu hamjuani badala ya kutoa ushauri anataka kuibgilia usiri wa wengine.