Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Wakuuu kila nikiandika yale maneno ya chin naambiwa nmekosea kunini????msaada kwa anaye jua pls
 
Not secured means umekosa mkopo bt watatoa batch nyingine
 
1476032426608.png

Wakuu nmekuta iv kwenye account yang heslb sasa cjawaelewa naomba mnisaidie maana nmechanganyikiwa
 
Not secured lon,,,uduanz huuu sasa lakin chuo lazimaaa,,,,,,batch lin mkuuu
 
Not secured for a loan,ni neno nilolichukia sana mwaka jana na kuninyima raha ila batch ya tatu ilipotoka na mzigo kusoma nilipumua kidogo japo ada nimelipiwa kidogo.Chuo siyo ada bt chuo ni chakula,malazi na stationary hapo ndipo panapomaliza pesa
 
Back
Top Bottom