Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Ingia Olas Home then unaingia kwenye loan allocation unaweka Index namba yako na security code. Hakuna haja ya password. Ila nadhani bado mchakato haujakamilika vile ndo juzi tuu wametoa majina ya walokosea.
 
Kwanza hawa bodi wako kizamani,kulikuwa na sababu gani ya kutuma kwa posta,Ingekuwa vizuri vyote pamoja na copy za vyeti vingetumwa online nadhani kusingekuwa na haya malalamiko.
 
Knobs mimi nmeangalia ipo kama nilivyoiacha. Yani "your form ready for print click applicant status" amna cha zaid nlichoona.
 
Mkuu kabwekasoma nawezaje kuangalia? Hebu nipe njia ya kuangalia
Nenda google andika OLAMS ikisha funguka utaandika index no. Ya form four na pass word yako ulioitumia wakat wa kuaplly kisha ingiza security code kama ilivyoandikwa then LOGIN
 
Nenda google andika OLAMS ikisha funguka utaandika index no. Ya form four na pass word yako ulioitumia wakat wa kuaplly kisha ingiza security code kama ilivyoandikwa then LOGIN
Daaaaaaa nimeenda vzr sasa nimesahau password VP mbona hakuna sehemu ya forgot password
 
MAELEKEZO YA KUINGIA BODI YA MKOPO
1.Google search.

2.heslb

3fungua hiyo link ya heslb.

4.Anglia sehemu wameandika
""Registered user log in""

4.ukisha log in

5.itatokea chart inatakiwa ujaze sehemu tatu.

!/Form four index

!!/Password yako

!!!/Security code

Mwisho...
 
Dah mmenifanya nikose amani bora msingesema nimekuta 0 pf 5 ,sasa cjui waliniruhusu vipi ni print bila kufika 5 ,5. Mimi ninauhakika niliprint ilipokua 5 of 5

Sent from mTalk
 
1475998429135.png
wakuu ni kweli nmecheki upya nlichokuta ndo icho apo
 
MAELEKEZO YA KUINGIA BODI YA MKOPO
1.Google search.

2.heslb

3fungua hiyo link ya heslb.

4.Anglia sehemu wameandika
""Registered user log in""

4.ukisha log in

5.itatokea chart inatakiwa ujaze sehemu tatu.

!/Form four index

!!/Password yako

!!!/Security code

Mwisho...
!! Na !!! Nimesahau nilipoweka
 
Kuingia kwenye profile zenu za HESLB, ingia www.olas.heslb.go.tz. Kisha ingia 'Applicat's Loan Status'.

Kisha ingiza index namba yako ya form four. Halafu ingiza passworsds (ambazo ni herufi mchanganyiko zinazoonekana kwa kwa chini kidogo ya kibox cha kuweka passwords.

Hapo utakuta details zako i.e Jina lako, Chuo ulichochaguliwa, Course utakayosoma, Mwaka wa masomo na Loan Status yako ikiwa kama umepata au la.
 
Hawa bodi wanachanganya sana kwa kweli. Kuna dogo nimeingia kwenye profile yake wanasema did not apply for loan ila ukienda kuangalia kwenye wenye fomu zenye makosa dogo huyo huyo anaandikiwa fomu yake haina makosa yoyote. Sasa unajiuliza inakuwaje wana fomu yake isiyo na makosa halafu waseme hakuomba mkopo? Kazi sana kwa kweli.
 
dah kweli bodi wanazngua me mwenyewe nimekuta wameniandikia siku apply mkopo wkt nili omba nanikatuma fomu kwa ems na jina langu kwa wale waliokosea halipo aisee huu mwaka wetu
 
Kuingia kwenye profile zenu za HESLB, ingia www.olas.heslb.go.tz. Kisha ingia 'Applicat's Loan Status'.

Kisha ingiza index namba yako ya form four. Halafu ingiza passworsds (ambazo ni herufi mchanganyiko zinazoonekana kwa kwa chini kidogo ya kibox cha kuweka passwords.

Hapo utakuta details zako i.e Jina lako, Chuo ulichochaguliwa, Course utakayosoma, Mwaka wa masomo na Loan Status yako ikiwa kama umepata au la.
Wewe vip umejaribu iyo makitu
 
Kuweni na subra watanzania. Japokuwa ni dhahiri kuna mkanganyiko unajitokeza unapo log in kwenye profile yako.

Kwamfano; nilipotumiwa username na passwords Applicant na kulog in, nikakuta kitu cha ajabu. Ajabu yenyewe ni kwamba, Applicant anaonekana fomu yake haikukamilishwa kujaza ilhali huwezi kuprint fomu mpaka iwe imekamilika.

Ambapo details zinaonesha hakumaliza details za mdhamini, preliminary information na hatua zote za mwisho.

Ajabu ya pili, after a while nikalog in tena. Nikakuta fomu yake haina shida, imekamilika kama ilivyojazwa awali. Lakini inasema "You did not Applied for Loan 2016/2017 academic year"!

Na ajabu ya tatu, ili kujiridhisha nikatazama kwa mara ya tatu. hapa sasa imeleta " You have not Secured Loan." Status hii haioneshi chuo wala course alopangiwa kusoma japokuwa chuo amepata.

Sasa huwenda process nzima haijakamilika, ama vyuo/TCU haijakailisha kutuma majina ya wanafunzi walochaguliwa vyuoni.

Vuteni subra.
 
Back
Top Bottom