Kwel mwambNot secured for a loan,ni neno nilolichukia sana mwaka jana na kuninyima raha ila batch ya tatu ilipotoka na mzigo kusoma nilipumua kidogo japo ada nimelipiwa kidogo.Chuo siyo ada bt chuo ni chakula,malazi na stationary hapo ndipo panapomaliza pesa
Duuhdah na kwangu pia imeandika hivyo "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
huyo ali logout akaandikiwa *You have successfully logout* sa akahisi ndo succesfully secured the loan kumbe majanga

Ivi kwanz hizi taarifa za kwel wakuu???maan sijaona taangazo llte ata kweny web yaoUkipata mkopo uwa wanakuandikia kiasi ulichopewa na vitu vingine kama Research,special faculty,stationary etc
Angalia namba za simu zilizopo kwenye copy ya hile form kisha wapigie watakupa maelekezo ya kutosha na fanya mapema kidogo ili uweze pokea maelezo ya tija badala ya kulalamika huku jf hapatakua na msaada zaidi ya hili ninalokuambia ndugu zanguniNdo wanasema sasa hatujaapply mwaka huu 2016/2017
Screenshot iweke hapa mkuuKwangu imeandikwa not secured