Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Majina yawaliopata mikopo yametoka angalia kwenye profile yako kwa juu kuna back ground nyekundu na kuna maandishi hapo yatakuonyesha kama upo eligible au la!!?
Mm yananiandikia tuu print fomu yako I think kwa sababu bado cjapata chuo
 
ivi mtu akiandikiwa you have not secured loan, na amepangwa chuo taari na taari anaanza masomo tena md, inakuaje apo wadau?
 
ivi mtu akiandikiwa you have not secured loan, na amepangwa chuo taari na taari anaanza masomo tena md, inakuaje apo wadau?
Lipia ada , direct cost, soma . No fees no school. Tunabana matumiz
 
Na mimi nimeandikiwa "you did not applied..........." na wakati huo alhamisi ya wiki iliyopita nilikwenda kurekebisha baadhi ya details zangu hapo bodi ya mikopo na form yangu niliishika mwenyewe sasa haya mambo ya did not yanatoka wap?
 
Back
Top Bottom