Naomba mlete kifungu kutoka kwenye msahafu kinachosema mahakama ya kadhi iwepo kwenye katiba za nchi.Na pia watekelezaji wawe ni serikali.
Kwa hiyo kwenye Quran hamna hilo andiko? Halafu hivi huwa unaielewa Biblia au umesoma tu huo mstari kama kasuku?Matayo 525 Patana na mshitaki wako upesi, wakatiuwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asijeakakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupelekakwa askari, ukatupwa gerezani.Yesu alizungumza mambo ya msingi na kadhi alikuwepo wakati wa Yesu.Labda kama kanisani hamsomewi
Matayo 5
25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati
uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije
akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka
kwa askari, ukatupwa gerezani.
Yesu alizungumza mambo ya msingi na kadhi alikuwepo wakati wa Yesu.Labda kama kanisani hamsomewi
Kwa hiyo kwenye Quran hamna hilo andiko? Halafu hivi huwa unaielewa Biblia au umesoma tu huo mstari kama kasuku?
Huyo jamaa kwanza ni mjeuri,mwambie pia alete na version ya Kiingereza then ujue kwa mazingira yao ya kipindi kile walimaanisha nini? Akileta hiyo verse kwa kiingereza utajua tu.Hata hivyo Katika Imani yetu yale ni mafundisho aliyotoa akimtaka binadamu kufanya mema akiwa bado hai,kutubu makosa yake akiwa hai.Sio Asubiri afe akiwa hajawa katika hali ya usafi wa roho.Maana hakutakuwa na mjadala siku ya hukumu.Ila itakuwa ni kutupwa motoni tu.Hata hivyo nilimuomba anukuu kwenye msahafu wao japo hajafanya hivo.Matayo 525 Patana na mshitaki wako upesi, wakatiuwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asijeakakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupelekakwa askari, ukatupwa gerezani.Yesu alizungumza mambo ya msingi na kadhi alikuwepo wakati wa Yesu.Labda kama kanisani hamsomewi
Sio kila wanafunzi darasani huwa wanaelewa wengine ni wazito kuelewa.Nilimuuliza anajua Yale maandiko kwenye Biblia huwa yanamaanisha nini?Hoja ipi haijajibiwa?Hoja hujibiwa kwa hoja sio kulalamika, amenukuliwa yesu ww unaleta habari za roho na moto usikimbie jibu hoja
.....ndio maana tunawaeleza uelewa wenu ni mdogo ! Watu wakiamua kupelekana Mahakamani kuna hiari tena !?
Mbona kesi za Mke na mume kuachana zinapelekwa Mahakamani na wakati wa kuoana ilikuwa vigelegele na manywaji !?
Mahakama itakapo amua kutengua ambayo watu waliokuwa mke na mume wameshtakiana na mali kuamua igaiwe sawa kwa sawa, mwanaume akakataa au kuficha mali, hatua gani itachukuliwa kuhakikisha haki inatendeka !?
Au Mahakama ina amua nyumba iuzwe, mmoja wapo hataki, Je, hatua gani zichukuliwa ikiwa hukumu tayari imetoka !?
Je, Polisi na Madalali hawatahusika !?? Nanren
Matayo 5
25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati
uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije
akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka
kwa askari, ukatupwa gerezani.
Yesu alizungumza mambo ya msingi na kadhi alikuwepo wakati wa Yesu.Labda kama kanisani hamsomewi
Sasa mnashindana na jambo la Waislaam ili iweje !?......Mahakama ya Kadhi itakupunguzia nini ?!
Mijitu kama hii tpaul unakuta ni yale mijitu yenye dhiki, husda, na choyo. Akimuona jirani yake amenunua baiskeli basi siku hiyo halali anawaza aibe hio baiskel ili wakose wote. Nakushauri tpaul acha upumbavu usiwaze kuiba baiskel bali waza utapataje pikipiki ili umzidi jiran yako. tpaul usiwaze waislamu wata kosaje mahakama ya kadhi, bali waza mtafanya nini ili muwazidi waislam na mahakama yao ya kadhi
Kwani Wakiristu na Makafiri ndio walipa Kodi peke yao !?
Hii Mahakama isipopita MoU nayo itakufa.
Mnachukuwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya kujengea mahekalu yakuwekea masanamu.
Mkuu, you are a verified user and you have to show that through your posts/comments. Hivi pesa za kujengea masanamu unazosema ni kodi za wananchi? Hivi hujui kwamba mahamaka haya ya kiislamu yatakuwa yakiendeshwa kwa kodi za wananchi wote [(wakristo, wapagani, wabudha, waabudu samanu)---MAKAFIR, waislamu, nk]. Sasa iweje mahama za kiislamu ziendeshwe kwa kodi za watu wa dini zingine? Hiyo ni sawa?
Mkuu, you are a verified user and you have to show that through your posts/comments. Hivi pesa za kujengea masanamu unazosema ni kodi za wananchi? Hivi hujui kwamba mahamaka haya ya kiislamu yatakuwa yakiendeshwa kwa kodi za wananchi wote [(wakristo, wapagani, wabudha, waabudu samanu)---MAKAFIR, waislamu, nk]. Sasa iweje mahama za kiislamu ziendeshwe kwa kodi za watu wa dini zingine? Hiyo ni sawa?
itanipunguzia mzigo wa kodi kwa kuwa mahakama hiyo itakuwa ikiendeshwa kwa kodi za watanzania wote bila kujali dini zetu (kristo, islamu, budha, hindu, pagani,etc).
Matthew 5:25 Agree with thine adversary quickly, whiles thou art in the way with him; lest at any time the adversary deliver thee to the judge, and the judge deliver thee to the officer, and thou be cast into prison.
I don't see any word that says "Kadhi" BUT Judge "Hakimu".
Mnachakachua mpaka Biblia. SASA Soma Biblia ya Kiswahili:
Matayo 5: 25"Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa walinzi, nawe ukatupwa gerezani.
http://www.biblica.com/uploads/pdf-files/bibles/swahili/nt/bible-swahili-matthew.pdf
HIVI NYIE WAISLAM, Huwa mnalipwa mnapo DANGANYA?
Hukuelewa swali langu.
Rudia post niliyoku-quote halafu fikiria kwa undani.
Maamuzi yoyote ya kidini yanabaki kuwa ya kidini. Kulazimisha serikali itumie nguvu za dola (kama polisi au mahakama za kawaida) ku-enforce maamuzi ya kidini, hakukubaliki kiimani.
Kwa sisi wakristo, mahakama za kawaida au serikali haziwezi kutengua ndoa. Zitatengua kidunia, lakini sio kiimani. Nilitegemea kuwa maamuzi ya mahakama ya kadhi hayahitaji polisi wala dalali kwa vile, waliopelekana kwa kadhi (kama sehemu ya ibada) wamefanya hivyo kwa imani yao, na kwamba muumini wa kweli anatakiwa kufata maamuzi ya kadhi bila SHURTI.
Kuna rafiki zangu wa huko Uganda na Kenya waislam wanasema hizo mahakama za kadhi siyo nzuri na hazitoi haki hasa kwa wanawake wa kiislam. Cha kushangaza wao ndio loudest huko bungeni kuidai mahakama hiyo!
These are ayats from your deity. They are against women, to wit
Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution of Tanzania