M Market maker Member Joined Jun 6, 2026 Posts 35 Reaction score 75 Sep 22, 2026 #1 Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π
Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 76,558 Reaction score 108,249 Sep 22, 2026 #2 Market maker said: Naomba kuhuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... Yes ila sidhani sms tu inatosha! umapaswa umtumie qr code pia na particulars ziwe za anayesafiri! Hata ku-print qr code!
Market maker said: Naomba kuhuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... Yes ila sidhani sms tu inatosha! umapaswa umtumie qr code pia na particulars ziwe za anayesafiri! Hata ku-print qr code!
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,329 Reaction score 22,315 Sep 22, 2026 #3 Market maker said: Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha.
Market maker said: Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,944 Reaction score 113,549 Sep 22, 2026 #4 Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,488 Reaction score 36,101 Sep 22, 2026 #5 Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Kizi mkazi
Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Kizi mkazi
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,944 Reaction score 113,549 Sep 22, 2026 #6 Mr Devil said: Kizi mkazi Click to expand... Mitano tena kwake.....π
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,598 Reaction score 139,811 Sep 22, 2026 #7 Market maker said: Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... Unaweza. Unaandika majina yake na namba ya simu unaweka yake.
Market maker said: Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.π Click to expand... Unaweza. Unaandika majina yake na namba ya simu unaweka yake.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,598 Reaction score 139,811 Sep 22, 2026 #8 Kimwakaleli said: NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha. Click to expand... Kitambulisho sio lazima kiwe cha NIDA. Muhimu jina liendane na kitambukisho.
Kimwakaleli said: NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha. Click to expand... Kitambulisho sio lazima kiwe cha NIDA. Muhimu jina liendane na kitambukisho.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,598 Reaction score 139,811 Sep 22, 2026 #9 Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Mbagala
Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Mbagala
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,459 Reaction score 198,016 Sep 22, 2026 #10 Ndiyo... Cc: Mahondaw
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 40,131 Reaction score 125,141 Sep 22, 2026 #11 Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Ni Bus la kwenda Zanzibar.
Ushimen said: Sahamani mkuu..... Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€ Click to expand... Ni Bus la kwenda Zanzibar.