Kuhusu kukaribisha wageni chakula

Kuhusu kukaribisha wageni chakula

Wageni ni baraka,embu muda mwengine weka utu mbele.Huenda ungewakaribisha wamesema tu asante hata chakula wasingekula,ila kuwapa za uso hivo ndugu yangu khaaaa we mwisho.Kuna leo na kesho ujue ehh,napata picha siku umepoteza nauli afu uwakute kwenye basi la mwendo kasi watavokutoa nishai
Una demu kweli ww?
 
Huo ni uchoyo. AFRICA Tuna shida sana lakini hatujafikia hapo. ni sawa kutoa taarifa lakini hapo ulienda mbali sana. kuiga kwingine jamni sio hivyo, igeni vizuri sio mnacopy na kupaste everything!!!
 
Kuna kabila moja kanda ya Ziwa hii ni culture yao.

Kama hujatoa taarifa msosi sahau, hata ukiukuta mezani kaa pale utulie.

Mazingira yanatushepu, ila kuwaeleza moja kwa moja inabidi uwe mtata kweli.

BTW, kama mnafanya kazi wanaume kukaa nyumba moja siyo.
 
Kwa sisi waafrika ni bora mwenyeji usile wageni wale hata kama hawajatoa taarifa.
Tulishawahi kuharibikiwa na gari njiani wenyeji wetu walitupa chakula na malazi bure huo ndio uafrika.

Wewe ni mchoyo.
 
Mimi acha kuwa na roho yenye kutu nataka niwe na mavi haswa lakini kama hujanipa taarifa unakuja hulii kitu. Nishafanya hivyo mara kadhaa na wala sijali.
Kuhusu kula kwa pamoja hayo maneno ya wazee wa zamani hakuna ukweli wowote hapo ndio maana mpaka leo akili zetu migando kwa misemo yao ya kale.
Kuhusu mzee wangu namtunza kama mboni ya macho nime mjengea nyumba na kila mwenzi nampa hela ya matumizi 500k.
Narejea tena bila ya taarifa sikukaribishi kula sio kama mchoyo bali mawasiliano yapo kwanini ujilete kama jini au malaika mtoa roho bila ya taarifa.
Ngoja nitulie kwanza halafu nitarudi kuja kukupasha mpaka upashike na uache hayo mauchoyo yako,
Looh! Huna haya wala hujui vibaya.
 
Hellow,
Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi.

Juzi Juzi ticha alitembelewa na rafiki zake wawili wa kiume muda wa mchana, walimkuta teacher akiwa anapika, chakula kilipoiva, teacher alipomaliza kukaribisha rafiki zake msosi nilimuuliza kama wageni waliokuja walitoa taarifa kabla ya kuja, teacher akasema hamna c wamekuja kunsalimia tu, na blah blah nyingine, mm nikawauliza wageni wale kama walitoa taarifa kabla ya kuja nao walisema oh unajua, oh.., mm nkamwambia teacher live mbele ya wageni kuwa share ya msosi iliyopo ni ya watu 2, na nliwaambia wageni kuwa kwa vile mmekuja bila taarifa cha kuwasaidia ni kuwapa maji, msosi uliopo hapa ni wa watu 2, so sitakubali tu-share na nyie huu msosi, bac wale wageni walikaa pale mwishowe wakaondoka, hlf baadae teacher alintupia lawama kuwa I was rude, hiv jamani kuna kosa lolote nlilolifanya?

Naombeni mawazo yenu
No No No hujafanya kosa, You kept it real, And I'm keeping it Real they were "uninvited guests", ukimwambia mtu asienauelewa atakuona huna heshima ila Mimi ntakuona una " courage" kama yule mtoto wa "Bwana tazama tunasamaki wawili...."
 
dah we mshkaji ni unaroho mbaya mpka sikupatii picha yn, sijui hata maisha yako na mkeo yatakua vp
 
Ni kweli wamekosea ila kuna kitu kinaitwa UUNGWANA.... Afu na wewe pia sio mstaarabu kama unavyodhani ndio wachangiaji wengi wamekuona wewe ni mchoyo.

Afu pia chakula sio ishu wengine hapa hata kula ni kama kazi fulani hivi... full uvivu...

Hayo mambo ya kuwekeana share ulitakiwa kuongea na Huyo jamaa yako baada ya hao wageni kuondoka... Ikiwezekana akubali muwe mnafanyaje kukitokea hali kama hiyo... Ingetokea watu waliokuja kuwaona ni wageni wako na sio wa kwake ingekuaje...?
 
Yaani MAVI tu yanakutoa kwenye utu???!!! looooh! mnapenda kuiga vya watu weupe ndio tatizo, ukarimu ni asili yetu, kwani wangekula ndio kusema basi wangekufilisi?
 
Jaman embu achani tabia zenu za kukashifu..!kila MTU ana taratibu zake na bajet..alichofanya naisi n sahihi kulingana na mfumo wake wa maisha na bajeti yake.kibaya labda kuwaambia wazi!apo ndio anatakiwa ajirekekebishe.
 
Ungeongea na mwenyeji wao, yye angejua atadeal nao vipi sababu walimuhusu yye. Kufanya ivo ulionesha kutothamini uwepo wao na dharau. Lakini pia in Africa tunaamini wageni ni baraka, so unashare nao kile kilichopo haijalishi ni kiasi gani. Imagine ni mgeni wako tena unaemheshimu sana, nae amfanyie ivo utajisikiaje? Not good!
 
Hellow,
Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi.

Juzi Juzi ticha alitembelewa na rafiki zake wawili wa kiume muda wa mchana, walimkuta teacher akiwa anapika, chakula kilipoiva, teacher alipomaliza kukaribisha rafiki zake msosi nilimuuliza kama wageni waliokuja walitoa taarifa kabla ya kuja, teacher akasema hamna c wamekuja kunsalimia tu, na blah blah nyingine, mm nikawauliza wageni wale kama walitoa taarifa kabla ya kuja nao walisema oh unajua, oh.., mm nkamwambia teacher live mbele ya wageni kuwa share ya msosi iliyopo ni ya watu 2, na nliwaambia wageni kuwa kwa vile mmekuja bila taarifa cha kuwasaidia ni kuwapa maji, msosi uliopo hapa ni wa watu 2, so sitakubali tu-share na nyie huu msosi, bac wale wageni walikaa pale mwishowe wakaondoka, hlf baadae teacher alintupia lawama kuwa I was rude, hiv jamani kuna kosa lolote nlilolifanya?

Naombeni mawazo yenu

Ninajua hapa unatatizo la budget crisis. Huna fedha za kukidhi mahitaji ya dharura na unaishi kw abudget. Lakini, kwa habari ya chakula, tena wageni wa siku moja si wahamiaji, hukufanya vizuri. Chakula cha watu wawili mnaweza kula watu 5 na mkafurahi tu ikiwa mna upendo . Huo ni mlo mmoja. Wangetoa taarifa ungefanya nini? Ungeongeza chakula? Unapoona wageni kama unanjaa si unafanya maarifa mengine?

Kweli umeabisha!. Rafkik yako hatakaa na wewe kwa sababu ataona unamnyanyasa kwa sababu limkaribisha.

Jifunze kuishi vizuri na zaidi sana Mungu akupe hekima.
 
Acha uchoyo,kuwalisha watu once in a long while tatzo lipo wapii??chakula ni mavi tu
Wageni wakija injika sufuria ingine Ongeza ugali/wali au nunua/ tengeneza vinjwaji au matunda, kuleni kilichopo...
 
Dada sioni hapo kama kuna uchoyo hivi simu zote zilivyoojaa hawajaweza hata kumpigia mwenyeji wao kama wanakwenda kumuona. Sasa kama wangelikula si jamaa angelala na njaa na kubakia kuwasema. Bora alivyo waabia kuliko kuwasema
Angenunua japo soda wakanywa wote na hiko chakula pia,usiseme mtu kisa chakula
 
No No No hujafanya kosa, You kept it real, And I'm keeping it Real they were "uninvited guests", ukimwambia mtu asienauelewa atakuona huna heshima ila Mimi ntakuona una " courage" kama yule mtoto wa "Bwana tazama tunasamaki wawili...."
Keeping it real wapi, uchoyo tu,tena kabisa anawaambia oh bajet sijui nini,..wapi mtaishi msipate wageni wa ghafla??? Ndo afrika hii hamjazoea tu?
 
Walimu wa kileo sijui mnapeleka wapi watoto wetu...ukikuta mwalimu anaandika Xorry badala ya Sorry na hapo unategemea mwanao awe competent basi ni sawa na kutarajia chandarua kufurika maji!
 
Mkuu vitabu vya dini vinatufundisha mambo mengi ,hukuweza japo kufikiri mafundisho toka vitabu vya dini na kuwatendea wageni jambo jema?
 
Back
Top Bottom