Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

That is my opinion you can take it or leave it.Thanks.
 
Diploma unasoma hata na hiyo division 2.Unapiga kazi miaka 2 unajiunga B.Eng
sijasema kwamba hawezi jiunga diploma, my point is, kwanini ajiunge diploma wakati ana qualifications za kujiunga degree??
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilimaliza kidato cha nne mwaka 2002 na kufanikiwa kupata division1 ya 14 na nikafanya Advance level mwaka 2006 PCM na kupata division 2 ya 12 (Phy E, chem C na Advance math E) baada ya kumaliza form6 nilipata tamaa ya kusafiri kwenda kutafuta maisha ughaibuni lakini mambo yangu hayakwenda kama nilivyotaka niliishia kubeba box na sikufanikiwa kupata permit ya kuishi.

Now nimerudi hapa nyumbani Tanzania na nimeona kitu ambacho kinanitoa kwa upande wangu ni elimu.

Nahitaji mawazo yenu nisomee course gani ambayo ipo katika market hapa kwetu? Mimi katika mawazo yangu ambazo hata nje zina soko ni Geomatics, civil engineering, renewable energy, oil and gas, quantity surveying na electrical engineering.

Naomba mawazo yenu maana umri nao unaanza kunitupa mkono nisije nikafail tena..
Shukran sana.
Tupe mrejesho mtoa mada, ulifanikiwa kujiunga kozi gani kwa level ipi?
Nini changamoto au mafanikio uliyoyaona
 
Anatakiwa awe na foundation Mimi nimesoma na watu wa dizaini hiyo.Ishu siyo degree?Je unajua vitu basic kwenye hiyo field unayosomea?Degree zipo Tu hats ukitaka PhD,Post Doctor and other awards.
Hahhaha....ulimshauri mwenzio vibaya...

Aanze Diploma ili iwaje?! Hahahh...foundation!?! Kwamba uliona Degree hata master kozi hiyo atakayosomea?!?! Daah!

Tuache kukariri wakuu...kama mtu ana sifa za kusoma Degree,akasome.
 
Back
Top Bottom