Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Soma engineering yeyote kati ya hizi..(mechanical,electrical au civil) trust me hutojutia!! Sikushauri kusoma telecom kwa kweli kwa kipindi hiki,kibongo bongo ajira zimekuwa chache coz vijana wengi wameivamia... all the best!!
Mkuu vipi kuhusu Bsc in Geomatics
 
If you don't mind try also telecommunication engineering kwa sasa inalipa sana nyumbani na nje. Mimi nafanyakazi nje ya nchi kwa muda mrefu na nimeona vijana wa kitanzania wakifanyakazi hizo na makampuni ya simu huko Uganda, South Sudan, Senegal. Ni field inayolipa sana hata UN.

mwanalumango ilikuwa nianzishe thread niulize watu wa telecom. kama ulikuwa unanisubiria!!

Does your job require you to work day and night?

nasikia kuna waliospecialize kwenye milingoti? kuna specializations nyingine?

kuna Mtu anafanya Huawei so nawaza ni kwamba hawana uwezo wa kuajiri wataalamu wengi au ndo kazi Ina demand hivyo? The guy hardly sleeps! ever!
 
Kwanini unamshaur mwenzio asome diploma wakati ana qualification za kusoma degree?
Anatakiwa awe na foundation Mimi nimesoma na watu wa dizaini hiyo.Ishu siyo degree?Je unajua vitu basic kwenye hiyo field unayosomea?Degree zipo Tu hats ukitaka PhD,Post Doctor and other awards.
 
Fanya geomatics..unafanya kazi kotekote migodini,civil works,road construction,manispaa,na nyengine kibao..hufi njaa
 
Tanzania hatusomi ili tuajiriwe, unatakiwa uwe na mentality ya kujiajiri,usiniulize pakupata mtaji...nashauri usomee uhandisi wa vifaa vya kilimo ama kilimo chenyewe, ni taaluma ambayo haikuwahi kumtupa mtu!
 
Nenda NIT pale kuna course moja nzuri sana Aicraft Engeneering and Maintanance itakufaa sana hiyo
 
Mkuu chukua kati ya
  1. Civil Engineering
  2. Mechanical Engineering
  3. Electrical Engineering
  4. Chemical and Processing Engineering

Mambo ya Oil and Gas achana nayo kabisa, Hizo hapo juu unaweza kufanya kwenye industry yoyote unayoitaka ww. All the best
 
still unaweza anza na diploma hata ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form four den baadaye anaweza kuja kuwa daktari.!!
bt choice is yours. zama hiz coz nyingi za engineering vijana wengi wamezikimbilia hivyoo soko baadaye litakuwa shda na wanakuwa hawana experience na kazi hizo, ndo maana kuna mtu amekushaur kama hutajal anza na diploma, ambayo itakupa exposure, bt lazma na wewe iangalie jinsi ulivyojipanga piah, kama utataka Mkopo ili usome nenda degree.
 
Back
Top Bottom