Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Nikiwa na hio diploma ya civil naweza kufanya kazi hapa tanzania au ndio mpaka umalize degree
Diploma ukimaliza unakuwa Technician, hawa ndio wanaoajiliwa kwa wingi kwa sababu ndio wanaotakiwa hasa kufanya kazi, wenye degree ni wachache na hawa huwa wana supervise hawa matechnicians,
Kwa kifupi unaajilika na naona umefaulu form six so haina haja ya Kusoma diploma unaweza kwenda bachelor moja kwa moja, ingia TCU tafuta guide book uangalie cutoff points za kusoma hizo course za Engineering, vyuo kama UDSM, Mbeya University, Ardhi,DIT
 
So mkuu kati ya geomatics na civil unanishauri ipi?
 
still unaweza anza na diploma hata ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form four den baadaye anaweza kuja kuwa daktari.!!
bt choice is yours. zama hiz coz nyingi za engineering vijana wengi wamezikimbilia hivyoo soko baadaye litakuwa shda na wanakuwa hawana experience na kazi hizo, ndo maana kuna mtu amekushaur kama hutajal anza na diploma, ambayo itakupa exposure, bt lazma na wewe iangalie jinsi ulivyojipanga piah, kama utataka Mkopo ili usome nenda degree.
Mkuu olevel nilisomea technical school kwahio cjawahi kusoma biology
 
mwanalumango ilikuwa nianzishe thread niulize watu wa telecom. kama ulikuwa unanisubiria!!

Does your job require you to work day and night?

nasikia kuna waliospecialize kwenye milingoti? kuna specializations nyingine?

kuna Mtu anafanya Huawei so nawaza ni kwamba hawana uwezo wa kuajiri wataalamu wengi au ndo kazi Ina demand hivyo? The guy hardly sleeps! ever!
Hakuna specialization ila kifupi Telecom ni pana sana kwahiyo inategemea kampuni iliyokuajiri inafanya kazi gani kazi nyingi hasa contractors companies wanafanya Upgrade ya links kwenye Towers, Transmission, RF etc kama uko kwenye maintenance ya Transmission ikitokea tatizo muda wowote usiku au mchana unakimbia kwenda kutatua tatizo hii wanafanya pia wanaohusika na Power /Magenerator na kuweka mafuta nao hawalali sometimes, Wanaofanya kwenye Switch ambayo ndio brain ya Network nzima ya kampuni hawa hufanya kwa shift usiku na mchana,
Mfano mimi nilisoma Telecom ila najihusisha na Fiber optics (Nyaya za mkongo) ila nachojua kwa Huawei wale wachina ni bahiri sana kwahyo lazima wapigishe watu wachache kazi nyingi.
 
Nitaangalia hio civil ikiwezekana hata kwa level ya diploma
Mbona unakata tamaa sana mkuu wakati umefaulu vizuri form six kwa nini upoteze muda na una sifa za kusoma bachelor degree?
Ingia Google tafuta Mbeya University of science and Technology angalia sifa za kujiunga kusoma hiyo Civil kwanza, usifanye vitu kwa kubahatisha tumia bandle lako vizuri.
 
Shukran mkuu
 
Hivi lini tunaanza kuapply mkopo Na vyuo maana Nina hamu Na Mathematics Degree
 
, Wanaofanya kwenye Switch ambayo ndio brain ya Network nzima ya kampuni hawa hufanya kwa shift usiku na mchana,
Mfano mimi nilisoma Telecom ila najihusisha na

thank you sir

...Huko kwenye switch ni kwenye kichumba kina mawaya kibao anakaa kuoperate na computer?
 
thank you sir

...Huko kwenye switch ni kwenye kichumba kina mawaya kibao anakaa kuoperate na computer?
Iko hivyo ina equipments za Telecoms nyingi na wires, yawezakuwa pia server ya kampuni kwaajili ya equipments zake kama Internet.
 
Nenda kasome Marine Engineering advance diplomer ni miaka 4 pale DMI Ukitoka hapo we ni hotcake unitafute uingie melini kuna hela vibaya mno.
 
Nakushauri uanze kusoma diploma Civil Engineering kati ya vyuo vifuatavyo Arusha tech,Mbeya University,DIT upate uzoefu kabla first degree.Ukifaulu vizuri unaweza kujiunga na chuo chochote either nchini au abroad.
diploma ya nini wakati kasema ana division two mkuu?
 
Back
Top Bottom