nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilimaliza kidato cha nne mwaka 2002 na kufanikiwa kupata division1 ya 14 na nikafanya Advance level mwaka 2006 PCM na kupata division 2 ya 12 (Phy E, chem C na Advance math E) baada ya kumaliza form6 nilipata tamaa ya kusafiri kwenda kutafuta maisha ughaibuni lakini mambo yangu hayakwenda kama nilivyotaka niliishia kubeba box na sikufanikiwa kupata permit ya kuishi.
Now nimerudi hapa nyumbani Tanzania na nimeona kitu ambacho kinanitoa kwa upande wangu ni elimu.
Nahitaji mawazo yenu nisomee course gani ambayo ipo katika market hapa kwetu? Mimi katika mawazo yangu ambazo hata nje zina soko ni Geomatics, civil engineering, renewable energy, oil and gas, quantity surveying na electrical engineering.
Naomba mawazo yenu maana umri nao unaanza kunitupa mkono nisije nikafail tena..
Shukran sana.