Kuhusu kitunguu saumu

unaweza kabisa ku-flash kwa kumwaga maji ya kawaida kwa kutumia ndoo au chombo chochote.
Hii inajulikana kama manual flushing (kusafisha choo kwa mkono) na inafanya kazi vizuri sana hata kama mfumo wa maji wa tanki (sisitimu) haufanyi kazi au hakuna maji ya bomba.

Unachotakiwa kufanya ni kumwaga ndoo nzima ya maji kwa nguvu na haraka moja kwa moja kwenye tundu la choo. Nguvu na kasi ya maji hayo itasukuma kile ulichokitupa (ikiwemo hiyo punje ya kitunguu saumu) kwenda chini kwenye mfumo wa maji machafu
 
Swali langu....kwanini kiitwe kitunguuswaumu hiii swaumu ndo inaniumiza kichwa.

Swaumu ni jin la mtu pia swaumu ni kufunga kwa matendo na kwachakula
 
Swali langu....kwanini kiitwe kitunguuswaumu hiii swaumu ndo inaniumiza kichwa.

Swaumu ni jin la mtu pia swaumu ni kufunga kwa matendo na kwachakula
neno "saumu" kwenye jina la kitunguu halina uhusiano kabisa na ibada ya kufunga (swaumu/saum) wala jina la mtu.
 
neno "saumu" kwenye jina la kitunguu halina uhusiano kabisa na ibada ya kufunga (swaumu/saum) wala jina la mtu.
Ndo npo kutaka kujua mkuu..... Mfano kitunguu maji hii inafaamika kwa kina maji maji sasa hii kitunguu swaumu hyo swaumu ndo nini?
 
Asante mtaalam
 
Naweza kuoga Kwanza Kwa sabuni ndo nikaoga huo mchanganyiko?
 
Wala huhitaji majani..Fanya hivi..chukua chumvi ya Mawe kwenye kiganja cha mkono changanya na maji angalau kuanzia Lita 10.. oga kabla ya kwenda kulala..halafu njoo hapa utoe ushuhuda.
Maji ya Moto?
 
Ndugu yangu Mshana Jr naamini bado unaendelea na maisha mapya ya wokovu, baada ya kuachana na mambo ya ushirikina. If so, jitahidi kuilisha roho yako kila siku kwa kusoma Biblia ili uukulie wokovu. Vile vile hakikisha mabaki yote ya kiganga na kishirikina unayachoma moto hadharani, umwaibishe kabisa shetani kama watu hawa walivyofanya:
Matendo 19:19
"Na watu wengi katika wale waliotumia mambo ya uganga wakakusanya vitabu vyao, wakavichoma moto mbele ya watu wote..."

Jitahidi pia kuutumia muda wako mwingi kumtangaza Kristo na kuwafundisha watu Neno la Mungu. Hilo ndilo agizo kuu tulilopewa watu wote tulioamua kuacha dhambi na kuokoka. Agizo hilo lipo katika Marko 16:15.

Kwahiyo utampendeza Mungu zaidi ukiutumia ushuhuda wako wa zamani kuwaonya wengine kuhusu madhara ya uchawi na kutegemea vitu badala ya kumtegemea Mungu.

Kibiblia, mtu anayefanya mambo ya kichawi huwa anafanya hivyo kwa kushirikiana na shetani na pepo wake, hata kama yeye hajui. Kwa maneno mengine mchawi au mganga akiacha uchawi ni kwamba ameacha kushirikiana na pepo. Pepo wanakuwa wamemtoka. Hata hivyo pepo wakitoka, huwa wanatafuta tena kurudi walipotoka (Mt 12:43-45). Kwa mantiki hiyo, udumu sana katika kumuomba Mungu ili pepo wakijaribu kurudi kwako wakute mlango umefungwa kabisa.

Naamini pia umeishajiunga na Kanisa linalohubiri wokovu na kufundisha maisha matakatifu. Kama bado, usikawie. Mungu ameweka katika Kanisa wahudumu wenye karama mbalimbali (Waefeso 4:11–14) kwa lengo la kufundisha na kuwajenga waamini. Kwa mtu mwenye historia ya uganga, ni muhimu sana kupata ushirika wa waaminio na mafundisho sahihi badala ya kujiongoza mwenyewe.

Hivyo, pamoja na kusali na kusoma Biblia ukiwa mwenyewe nyumbani, usiache kushirikiana na wengine walioamua kumfuata Yesu. Hakikisha tu kanisa unalojiunga nalo liwe kweli linafundisha habari za Kristo na wokovu, toba, utakatifu na Maandiko; sio yale yanayochanganya Injili na imani za kishirikina.
 
Yaani kwa nyuzi kama hizi, lazima wote tuwe wachawi, haki ya nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…