Guru Dev
JF-Expert Member
- Jun 25, 2025
- 489
- 673
Katika press yake mojawapo ya bwana comredi humphrey polepole kuelezea kwamba hata wakimroga hawamuwezi na kwamba atawakausha kwa moto wa maombi na ushuhuda alisema anao.
Mimi katika kuzunguka dunia hii na Kinga nnazozijua
Iko 1 ambayo hata apa nchi ya malawi ipo..na wanapewa watu maalumu lazima wawe na fedha tena basi wasiwe wakorofi..hiyo kinga ya KICHAWI ni kweli kabisa ukiwa umetaitiwa na ukawanyooshea watu ule mkono uliowekwa hilo kinga..hakika watu wanakauka wanakua kama kau kau on the sport😁😁😁....Asa bwana pole pole uliwapa nini wazee adi wakakupa kinga nzito ya kuweza kumkausha mtu on the sport..ingAWA WEWe ulisema ni moto wa maombi😄😄😄😁...toa ata location nasi ma charismatic fella tukapate kujikoki