Kuhusu katiba mpya; msimamo wa CCM ni upi?

Kuhusu katiba mpya; msimamo wa CCM ni upi?

Kongole comrade, umetoa somo kubwa sana leo:
"Je, mazingira ya kuleta katiba mpya kwasasa yapo?"
Hili ndilo jibu linalohitimisha makala hii!
Kongole kwako kwa kuanzisha mjadala huu muhimu kwa mustakabali wa Taifa.Kongole sana kwa andiko lenye ustaarabu na lenye kuibua mjadala kistaarabu ,tume-miss sana aina hii ya mijadala hapa jamvini kwa muda mrefu.Siamini kama jibu langu ndio linapaswa kuwa hitimisho la mjadala huu bali ni maoni yangu yanayolenga kualika hoja zaidi kutoka kwa wanaJF (kama great thinkers) na maoni ya wananchi bila kujali vyama vyao au dini zao au kabila zao.
Tunatukanwa sana humu kwa kuwa bado hatuna uwezo mzuri wa kuwasilisha hoja zetu...tunakuwa branded kwa sababu ya misimamo yetu ya hoja lakini tunafurahi pale ambapo michango yetu inapochangia katika kuleta mustakabali wa Taifa hili zuri.
mada hii yapaswa iwakaribishe manguli waliomo humu ambao kwa sasa naona kama vile wanataka kuchukua itikadi za kichama,kidini au kikanda .
Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Kiranga Nguruvi3 n.k
 
Kuwaita WanaCCM majizi ni kutaka kuwadhalilisha na kuwaondolea credibility yao mbele ya jamii jambo ambalo kamwe hawatolikubali.unawahitaji wana CCM ili upate katiba mpya ...hii ni given kama Pi(kama ulisoma physics lakini).
Ukitaka kuonesha umwamba wako mbele ya wanaCCM na wao wataonesha ubabe wao wa asili kabla hujazaliwa ...CCM walikuwa wababe haswa na hawakuwahi kutishwa na vibaraka au mabwana zao ndio maana leo hii tupo huru kama Taifa.
Kama umeshawajua ni matapeli tumia akili kukaa nao na kuzungumza nao kama matapeli...na wewe wafanyie utapeli ushinde ila kwa kutumia undava na ubabe CCM ni wababe kwelikweli na wameshapitia stage zote za kivita .
voters turn ni ngapi unayoijua wewe?
Nasema hivi, katiba mpya itaandikwa taka msitake. Hivyo vyombo vya dola vinavyowabeba, mbeleko inakaribia kuchanika, na hayo magenge yenu ya utekaji siku zao zinahesabika. Katiba ni lazima na sio ombi kwa ccm, wala muuaji Samia. Mwisho wa majizi umefika, Tunza hii post.
 
Lengo si kuiondoa ccm madarakani, ni kupunguza mamlaka ya raisi, asionekane kama mungu-mtu kama ilivyo sasa, Tume ya uchaguzi iwe huru kiutendaji siyo kwa jina.
Kwa nini Katiba mpya ilenge kupunguza mamlaka na madaraka ya Rais?baada ya kuyapunguza madaraka au mamlaka hayo unayapeleka kwa nani?hivi kila mtu leo hii akipewa mamlaka na madaraka ya Rais nchi hii itakalika?Imagine unapewa nguvu ya Kimungu kwa dakika kama 10 hivi utaifanyaje dunia na watu wake?
Let us all be realistic ...mamlala na madaraka aliyopewa Mhe.Rais ni muhimu katika kulinda wanyonge zaidi kuliko sisi tulioanza kujipata kielimu ,kiakili na pengine kimaslahi .
Je kila mmoja wetu akipewa nguvu ya kimamlaka kama tunavyo-wish huko mtaani kutakalika??
Kwa ufupi lazima awepo mwenye mamlaka na madaraka mmoja wa ku-control hulka zetu za Kimungu na kiutawala ...bila hivyo dunia hii itakuwa ngumu sana kuishi .
 
Katiba mpya ni tishio kwa. Vyama vya kitemi kama ccm..

Ninachotaka kukumbusha kua Kenya kabla ya kupata katiba mpya walimwaga damu ya kutosha 2007...

2010 wakapata katiba mpya
Endelea kuwa baada ya katiba mpya waliendelea kumwaga damu pia
 
Wewe ni mpu.mbav.u mwandamizi,Yaani principal foolish.Katiba sio ya ccm,ni ya wananchi wote.Ccm imekufa inategemea polisi.ndo ukweli huo.😂😂😂😂
Kama vile unataka kuuharibu mjadala kwa kunichokoza kwa mitusi...kwa sasa nakusamehe bure kwa heshima ya mleta mada
 
Wakati tunaendelea na mjadala huu nipende kumuonya bwana "AI " kuacha kupotosha kilichojadiliwa katika thread hii....
hapa chini ninaweka kile ambacho AI ameamua kuntranslate ambapo kwangu mimi naona amekosea na anataka kupotosha umma .....

"
The forum discussion revolves around the Tanzanian ruling party, CCM's, seemingly ambiguous position regarding the promised new constitution.

Dr. Adam Francis initiates the thread by likening CCM's stance to "strategic ambiguity," citing the US-Taiwan policy as an example. He notes that while CCM's 2025-2030 manifesto promised to revive the new constitution process within its first 100 days, recent statements from the President and other high-ranking officials suggest it is no longer a priority. He warns that such an unclear party position can lead to "political accidents" for members and stresses the importance of a firm, unified party stance on critical national issues.

Replies generally support the observation. One user, "funaku," highlights the key question of whether current conditions are conducive to a new constitution. Another user, "Tindo," emphasizes the necessity of cooperation with CCM to achieve a new constitution, cautioning against confrontational tactics (like calling CCM members "thieves") as it would be counterproductive and lead to resistance from the party."

Je ni kweli Tindo amechangia kuhusu cooperation with CCM au mimi ndio niliyechangia hivyo??...mods tumuonye huyu AI aache upotoshaji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Lengo si kuiondoa ccm madarakani, ni kupunguza mamlaka ya raisi, asionekane kama mungu-mtu kama ilivyo sasa, Tume ya uchaguzi iwe huru kiutendaji siyo kwa jina.
Kwakweli haya uliyoyasema pamoja na maadili&miiko ya viongozi wa uma ndio msingi wa madai ya katiba mpya!
 
Wakati tunaendelea na mjadala huu nipende kumuonya bwana "AI " kuacha kupotosha kilichojadiliwa katika thread hii....
hapa chini ninaweka kile ambacho AI ameamua kuntranslate ambapo kwangu mimi naona amekosea na anataka kupotosha umma .....

"
The forum discussion revolves around the Tanzanian ruling party, CCM's, seemingly ambiguous position regarding the promised new constitution.

Dr. Adam Francis initiates the thread by likening CCM's stance to "strategic ambiguity," citing the US-Taiwan policy as an example. He notes that while CCM's 2025-2030 manifesto promised to revive the new constitution process within its first 100 days, recent statements from the President and other high-ranking officials suggest it is no longer a priority. He warns that such an unclear party position can lead to "political accidents" for members and stresses the importance of a firm, unified party stance on critical national issues.

Replies generally support the observation. One user, "funaku," highlights the key question of whether current conditions are conducive to a new constitution. Another user, "Tindo," emphasizes the necessity of cooperation with CCM to achieve a new constitution, cautioning against confrontational tactics (like calling CCM members "thieves") as it would be counterproductive and lead to resistance from the party."

Je ni kweli Tindo amechangia kuhusu cooperation with CCM au mimi ndio niliyechangia hivyo??...mods tumuonye huyu AI aache upotoshaji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
AI imepiga hatua kubwa sana!
 
AI imepiga hatua kubwa sana!
sana japo kwa sasa bado ina makosa na tunaendelea kuifundisha isikosee ...tunapoikosoa itazoea kuishi na kuzingatia utu,ukweli na uanadamu.

baada ya kuikosoa imetaka kujirejebisha japo imekosea tena na inaelekea kubaya zaidi....cheki hii...

"
This forum discussion primarily revolves around the ruling party CCM's unclear stance on the new constitution process in Tanzania.

Dr. Adam Francis, in the opening post, introduces the concept of "strategic ambiguity" and applies it to CCM's position. He notes that while the CCM 2025-2030 manifesto promised to revive the new constitution process within the first 100 days, recent statements from the President and other officials suggest it is no longer a priority. Dr. Francis warns that this lack of a clear, unified party position on such a crucial issue can lead to political "accidents" for party members, emphasizing the need for consistency.

Subsequent replies include a user expressing strong, insulting criticism of CCM, asserting that the constitution belongs to the people and not the party. The same user also includes a meta-comment warning an "AI" against misrepresenting the discussion."

Hapa ndio naendelea kuisisitiza AI iwe makini katika kupambana na akili natural kama za kwetu
 
Fisadi kikwete anataka mwanae muuza unga awe rais hawezi kukubali katiba mpya
 
Mambo mengine ni ya kipumbavu sana.
Wanaposema vijana waliouawa ni kutoka nje wanamaanisha mipaka ya nchi haipo salama na vyombo husika havitimizi majukumu yake kikamilifu. Sijui huwa wanawaza nini kabla kuropoka maujinga yao.

Ni mambo yanashangaza sana.
 
Katiba mpya ni tishio kwa. Vyama vya kitemi kama ccm..

Ninachotaka kukumbusha kua Kenya kabla ya kupata katiba mpya walimwaga damu ya kutosha 2007...

2010 wakapata katiba mpya
Hii ya Octoba 29 haikutosha? au kikombe cha toto pendwa kiongezee hapo
 
Kongole kwako kwa kuanzisha mjadala huu muhimu kwa mustakabali wa Taifa.Kongole sana kwa andiko lenye ustaarabu na lenye kuibua mjadala kistaarabu ,tume-miss sana aina hii ya mijadala hapa jamvini kwa muda mrefu.Siamini kama jibu langu ndio linapaswa kuwa hitimisho la mjadala huu bali ni maoni yangu yanayolenga kualika hoja zaidi kutoka kwa wanaJF (kama great thinkers) na maoni ya wananchi bila kujali vyama vyao au dini zao au kabila zao.
Tunatukanwa sana humu kwa kuwa bado hatuna uwezo mzuri wa kuwasilisha hoja zetu...tunakuwa branded kwa sababu ya misimamo yetu ya hoja lakini tunafurahi pale ambapo michango yetu inapochangia katika kuleta mustakabali wa Taifa hili zuri.
mada hii yapaswa iwakaribishe manguli waliomo humu ambao kwa sasa naona kama vile wanataka kuchukua itikadi za kichama,kidini au kikanda .
Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Kiranga Nguruvi3 n.k
CCM si waliweka ajenda ya katiba mpya katika Ilani na Samia alisema kitu kuhusu kuifanyia kazi kwa kipaumbele?

Zile habari zimeishia wapi?

Maana Magufuli alitoa kisingizio kwamba katiba moya si ajenda ya CCM. Haikuwa katika ilani.

CCM wakaja kuiweka katika ilani ya uvhaguzi kabisa mwaka 2025.

Au nakumbuka vibaya ndugu zanguni?
 
Binafsi naona pengine ilikuwa danganya toto lakini danganya toto huwa inaacha halama, hatati inaweza kuwa pale watanzania watakapoona kwamba ilani ya CCM, CCM mwenyewe na ahadi za tutaanzisha mchakato ni danganya toto hata kama akitokea mtu atakaekuwa tayari kwa dhati ataonekana muongo kama wengine, hatari inaweza kuwa wananchi wakichoka kusubiri itakuwa hatafi zaidi.

Tembelea www.katibampya.com
 
mada hii yapaswa iwakaribishe manguli waliomo humu ambao kwa sasa naona kama vile wanataka kuchukua itikadi za kichama,kidini au kikanda .
Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Kiranga Nguruvi3 n.k
Asante, nimekaribia.
Katika siasa kuna kitu kinaitwa strategic ambiguity;
Hapa kwetu ni kama swala la Katiba mpya limeshafikia hatua hiyo. Wakati ilani ya CCM 2025-2030 iliahidi kuhuisha mchakato wa katiba mpya ndani ya siku mia moja za kwanza, hali sasa imeanza kuchukua mwelekeo tofauti.
Asante kwa elimu hii ya strategic ambiguity, hoja ya katiba mpya haina ambiguity yoyote, ni imetokea mambo yamekuwa mengi ndio maana mchakato umechelewa kuanza, naamini Rais Samia ni muungwana, waungwana wakiahidi, wanatekeleza, Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?
Changamoto kubwa ya maswala kama haya ambayo msimamo wa chama haupo bayana, ni kusababishiana ajali za kisiasa. Unaweza toka ukiwa na nia njema yakuisemea ilani ya chama kwa wananchi, wenzako nyuma wanaitisha vikao kukujadili.
Hoja ya katiba mpya kwa CCM na rais Samia ni bayana na haina ambiguity yoyote!, kuna watu wanadhani kuadhibiwa VP EN ni kwasababu ya kauli ya piganieni katiba!, no!, amefutwa uanachama kwa mambo yao ya ndani ambayo hawajataka kuyaweka wazi.
Ni muhimu sana kwa chama, haswa kwa mambo yanayokuwa yamebeba uzito mkubwa kwenye siasa za nchi, kuwa na kauli thabiti, itakayotetewa na wanachama wote kwa pamoja.
Naunga mkono hoja.
Mzee Pasco
 
Pita hapa www.katibampya.com kuna rasimu ya katiba yenye muundo wa mihimili minne ya dola, yaani.
1. Baraza la usimamizi wa taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania.

Muundo huu unatoa majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapa.

Majukumu, muundo, mipaka, mamlaka na menhineyo kuhusu Baraza yametamkwa kuanzia ibara ya 98 mbaka ibara ya 116 ya rasimu hiyo ya katiba.
 
Back
Top Bottom