Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Leave my Uncle Alone!.....You all need to mind ya" own businezz 4shoo.
Joseph James Mungai Mbunge tarehe 3/1/2009 alifanya kufuru Mjini Iringa baada ya kumtumia wakala wake kunadi jengo lilliopo manispaa ya Iringa kwa shs 315m.Jengo likithaminiwa halizidi shs 200m .
Jengo hilo lilikuwa na milikiwa na Ndg Zaid baraka alikuwa akidaiwa na Mamlaka ya Kodi TRA ,lilipo eneo la Gangilonga kiwanja na 21 zone 2,wakala huyo wa Mungai aliwaacha watazamaji na wafanyabisahara hoi,baada ya kulinadi jengo hilo kwa bei ya juu !wakala huyo wa Mungai aliyejulikana Kama Ndg Vitus Mushi aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM manispaa ya iringa
Baada ya hapo alitakiwa kulipa asilimia 25% jambo ambalo alilifanya na kupewa risiti iliyoandikwa
Receiced from JOSEPH JAMES MUNGAI shs 78.750.000/-ikiwa asilmia 25% ya alichokinadi .
Huyo ndiye Joseph James Mungai!!

Je thread hii ina uhusiano na ile ya ununuzi wa ghorofa?Mungai anaingia hapa mjini Dar leo usiku kwa KLM. Amekatisha safari yake USA kwa takribani wiki mbili. Bimdogo na watoto hawakupata visa, hivyo hawakuweza kuondoka, mipango ikafa. Taarifa ni kuwa siyo suala la Elimu au Mambo Ya Ndani vinavyomtatiza na kumpa kihoro. Inagusa masuala ya Kilimo, ruzuku za mbolea, uuzwaji wa mashamba Kilosa, Iringa vijijini, Mufindi yanayomgusa Chenge, Lowasa, Maj Gen Luhanga na mzungu mmoja anaitwa Asprem. Malipo yanapitia CRDB na Stanbic. Details zaidi zinatafutwa.
mbona post yako hii haieleweki?
Nilidhani ni mimi tu,kwa kweli hii post haieleweki kabisa..kazi kwelikweli
Hii posting imechanganywa maneno halafu ikajichanganya kabisa.
Let me guess,
'Mungai amenunua Jengo kwenye mnada wa hadhara kwa Shs. Mil.315'
Kama hivyo ndivyo, hebu eleza kwa kinadaga ubaga kama ni tatizo kwako au vipi?
bado kuna michanganyo. Thamani ya jengo ni sh mil 200, Mungai anejikaanga kwa mil 315! Wendawazimu gani umemfanya anunue jengo la bei rahisi kwa bei ghali namna hiyo?
Hii posting imechanganywa maneno halafu ikajichanganya kabisa.
Let me guess,
'Mungai amenunua Jengo kwenye mnada wa hadhara kwa Shs. Mil.315'
Kama hivyo ndivyo, hebu eleza kwa kinadaga ubaga kama ni tatizo kwako au vipi?
Mpita Njia,
Ukisoma vizuri hiyo thamani anayoitaja mtoa taarifa haina nguvu yeyote kwani ni mawazo yake ambayo hatuwezi kuya-quantify kwani siyo facts.
Hata kama hilo jengo lingekuwa thaminiwa kwa Shs. Mil 200 haizuii nguvu ya mnada kulinadi kwa zaidi ya thamani ya makaratasi, kumbuka soko nalo lina nguvu zake.
Hebu tujiulize, zile nyumba za mbavu za mbwa hapo Kariakoo zinauzwa sawasawa na zile za Sinza?
Joseph James Mungai Mbunge tarehe 3/1/2009 alifanya kufuru Mjini Iringa baada ya kumtumia wakala wake kunadi jengo lilliopo manispaa ya Iringa kwa shs 315m.Jengo likithaminiwa halizidi shs 200m .
Jengo hilo lilikuwa na milikiwa na Ndg Zaid baraka alikuwa akidaiwa na Mamlaka ya Kodi TRA ,lilipo eneo la Gangilonga kiwanja na 21 zone 2,wakala huyo wa Mungai aliwaacha watazamaji na wafanyabisahara hoi,baada ya kulinadi jengo hilo kwa bei ya juu !wakala huyo wa Mungai aliyejulikana Kama Ndg Vitus Mushi aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM manispaa ya iringa
Baada ya hapo alitakiwa kulipa asilimia 25% jambo ambalo alilifanya na kupewa risiti iliyoandikwa
Receiced from JOSEPH JAMES MUNGAI shs 78.750.000/-ikiwa asilmia 25% ya alichokinadi .
Huyo ndiye Joseph James Mungai!!
Ndugu Pundamilia, kama ulivyo guess kuwa Mungai ndio kanunua. Lakini bado kuna maswali, manake mleta hoja anasema Mungai alimtumia wakala wake kunadi jengo kwa 315m ambalo likithaminiwa halizidi 200m. Ina maana hapa Mungai ndio kauza na si kununua, na hii yaweza kuthibitishwa alipomlipa huyo wakala wa kunadi 25%. Lakini bado na huyu Ndg Zaid baraka aliyeandikwa alikuwa akidaiwa na Mamlaka ya Kodi TRA, anaingiaje tena hapa???.
Nadhani Sir Leem aje tena aweke wazi hoja yake, inachanganya mno!!