Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,564
- 45,462
Lipi?Swala la msingi haujalijibu?
Lipi?Swala la msingi haujalijibu?
Good analysisWeak system produces weak politicians and weak economists; na sector zingine. Zitto anasema ukusanyaji wa mapato umepungua hadi kufikia billion 600; kutoka ngapi?? 2 trillions? Were 2 trillons enough? No.
Tanzania haijawahi kuwa na strong economy; na haijawahi kuwa na strategy kujikwamua kwenye umasikini; ila rushwa, kulindana, na kudumisha utawala wa CCM. WE are good on that.
Je Magufuli amefanya vyema kwenye uchumi? Jibu; ni kuwa anajaribu kuziba mirija ya rushwa, lakini hana strategy yoyote kuhusu uchumi. Anaongelea viwanda ambavyo ni backbone ya economy; lakini hajaongea wala hana plan kuwa what kind ya viwanda tunahitaji katika hii early stage ya industrialization. Infrastructure and stability. Lakini how can you do that when you divide your own people in party lines?? Sasa hivi kuna very big divide, hate, ya rival politicians; matajiri na masikini nk.
Lazima tuwe na priorities; je export based economy versus kujenga makao makuu kipi muhimu?? We have AGOA, and EPA lakini hatuwezi hata ku exploit. Leo miaka karibu 60 tangu tupate uhuru bado tunauza pamba na tunaagiza nguo na viatu vya kuvaa kutoka nje. Tunaagiza chakula pamoja na arable land tuliyonayo. Simply we are good for nothing.
Baada ya miaka 60 ya uhuru bado barabara zinajengwa na wageni!! You know how much is about construction industry?? A lot of money.
Magufuli need to know this; go for AGOA, EPA (export oriented economy) and then revamp our construction industry for our local companies.
.Unamuamini Rais??.....asingekuja na hizo figure na umeona hata TRA na serikali.....wameufyata kama wanabisha walete data hapa....!! Hali ni mbaya sana....utaona Dr Mpango ataondoka kwenda kukopa soon maana baada salary hakuna kinachobakia OC zote na pesa maendeleo hazipo tena!! Bajeti itasimama...kama mwaka jana.....hakuna kituu!!!
siku hizi hawatangazi zito is just rightMapato mwezi ulioisha Ni 1.3 Trillions...acheni kujadili hewa..hakuna ishu Kama bil 600
aWhen failure comes it comes in an ugly way, this is what is exactly happening to us
Hata kama humuamini, toa mchango wako jinsi ya kufikia kuwa nchi ya kipato cha kati.Simuamini Zitto.
Kwani wewe huoni hali ya uchumi mpaka uambiwe?nilizani kaongea asubuhi hii na kavideo unako
ila ni page umeiokota huko fb inst sijui.
mbona hata mimi naweza nkaanzisha page nkaweka pc za zito na mkanifollow km hamjielewi kumbe.
endeleeni kudis vitu hewa.
sijui mkoje nyiesiku hizi hawatangazi zito is just right
Simuamini Zitto.
Wewe mgoloko kweli kabisa hutasogea kielimu, unamuonea wivu jamaa kwa kuonyesha uelewa wake wa uchumi? Sasa mbona umeshindwa kumkosoa alipokosea badala yake unamshambulia. Au kwa vile unamfahamu basi unataka kumtisha?Kuna nyakati nyingine huwa unajitoa ufahamu kwa kuandika pumba humu ndani kana kwamba hujui kinachoendelea au unafanya kitu cha makusudi kwa lengo la kutibu njaa yako!. Nina uhakika mpaka unachangia uzi huu ni wazi
umeshajua wazi hali ya kiuchumi ni ngumu na ndiyo maana unachangia humu ili kupata njia mbadala ya kujikwamua kutoka kwenye hali hii ya sintofahamu
Wanajuaje km hashauriki.Raia walisha kata tamaa, na wanajua kwamba yule baba hashauriki
Source?Mapato mwezi ulioisha Ni 1.3 Trillions...acheni kujadili hewa..hakuna ishu Kama bil 600
Kwa hiyo wewe ukiwa huna data, unamuamini Zitto? Why?
Kwanini unamuamini mtu ambaye definitely unajua atakuwa biased? Huyo ni mwanasiasa na kazi ya mwanasiasa ni kupigania madaraka. Ukiwa upinzani, unaiponda serikali na vice versa.
Bila data, ni majungu tu mtakua mnajadili.