Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

Kwa nini awe biased? kwani kujua makusanyo ya mwezi ya nchi ni rocket science? unafikiri information hizi hazipo? kwanza tunakuchora tu na uvivu wako wa kupata taarifa. Kwa taarifa yako taarifa hizi ziko. Do your home work, look up. Zipo.
Wewe humchori mtu yeyote, sanasana unajichora mwenyewe. Halafu eti unauliza kwanini awe biased? Hauko serious wewe!
 
Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600.

Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini kuwa tunaweza kutoa mawazo yetu Constructively ili kama yatawapendeza wenye maamuzi basi watachukua hili na lile ili kulifanyia kazi, na lau kama hayafai au hayatoshi basi sisi raia tutakuwa tumetimiza wajibu wetu wa kutoa mawazo na maoni yetu kwa mujibu wa katiba inavyoturuhusu.

Swali la Msingi je ni nini hasa huenda kimepelekea hali ya mapato kupungua

Na Je Tufanyeje sasa kama nchi na serikali ili mapato yaweze kuongezeka?

Nakaribisha mjadala!
sio kama zitto kasema basi tumuamini zitto bila ushahidi
na aiwezi kutoka 1,2b mpaka 600m mimi sinuuwi hiyo
 
Serikali inawatisha wawekezaji wakubwa na wafanya biashara unategemea nn? Wapo wafanyabisahara wameamua kusimamisha expansion ya biashara zao ili kusoma upepo kwanza maaana hawajui kesho serikali itaamua nini.

Mtu kama Bakharesa au Dewji akiona aliyofanyiwa Manji hata kama ana investment aliyotaka kufanya ni lazina ashike break.

Serikali ijilaumu yenyewe..na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi
Swali la msingi ni kwanini Manji na sio Dewji na Bakhresa?

Mara ya mwisho Bakhresa na Rais walifungua kiwanda pamoja. Tafakari
 
Weak system produces weak politicians and weak economists; na sector zingine. Zitto anasema ukusanyaji wa mapato umepungua hadi kufikia billion 600; kutoka ngapi?? 2 trillions? Were 2 trillons enough? No.

Tanzania haijawahi kuwa na strong economy; na haijawahi kuwa na strategy kujikwamua kwenye umasikini; ila rushwa, kulindana, na kudumisha utawala wa CCM. WE are good on that.

Je Magufuli amefanya vyema kwenye uchumi? Jibu; ni kuwa anajaribu kuziba mirija ya rushwa, lakini hana strategy yoyote kuhusu uchumi. Anaongelea viwanda ambavyo ni backbone ya economy; lakini hajaongea wala hana plan kuwa what kind ya viwanda tunahitaji katika hii early stage ya industrialization. Infrastructure and stability. Lakini how can you do that when you divide your own people in party lines?? Sasa hivi kuna very big divide, hate, ya rival politicians; matajiri na masikini nk.

Lazima tuwe na priorities; je export based economy versus kujenga makao makuu kipi muhimu?? We have AGOA, and EPA lakini hatuwezi hata ku exploit. Leo miaka karibu 60 tangu tupate uhuru bado tunauza pamba na tunaagiza nguo na viatu vya kuvaa kutoka nje. Tunaagiza chakula pamoja na arable land tuliyonayo. Simply we are good for nothing.

Baada ya miaka 60 ya uhuru bado barabara zinajengwa na wageni!! You know how much is about construction industry?? A lot of money.

Magufuli need to know this; go for AGOA, EPA (export oriented economy) and then revamp our construction industry for our local companies.
You're very right, hana kabisa mkakati wa kufufua uchumi, nafikiri anafanya kile anachokiamini yeye hata kama hakina impact yoyote ktk kukuza uchumi.

Amebuni mambo mengine ya kipuuzi yasiyosaidia nchi ki-uchumi kama kununua ndege (kwa kuiga Rwanda); kuhamia Dodoma haraka haraka; kutopunguza ukubwa wa serikali; kupuuzia kuwekeza ktk kilimo; kuhonga wapinzani Nk.

Kama tukiendelea hivi bila kuwa na vipaumbele vinavyoeleweka, ndani ya miaka miwili tu uchumi wetu utakuwa ICU.
 
Mimi nililoliona hasa na nasubiri Utafiti wa Wataalamu kuthibitisha null Hypothesis yangu ni kwamba:

Uamuzi wa kuhamia Dodoma utakuwa umetingisha Imani ya Investments ( Hususan Investors wa ndani), Wafanyabiashara waliokuwa wameinvest Dar hawana uhakika kama biashara zao zitaendelea kuchanua iwapo Maofisi na Watumishi wa Serikali wengi watahama kutoka Dar kwenda Dodoma, hii ni kutokana na kwamba Uchumi wa Dar kiasi kikubwa unachangiwa na serikali kuwepo hapa, kwa hiyo mzunguuko wa fedha ni mkubwa hapa, Watumishi wengi wa serikali wako hapa, hawa kutokana na mishahara yao na marupurupu yao bila shaka biashara kwa Dar zilikuwa zinaenda vizuri na hivyo Serikali kukusanya kodi ya kutosha kutoka mkoa huu!.

Sasa kitendo cha kuhamia Dodoma kwa ghafla au dhana tu ya kuhamia Dodoma, basi imefanya wafanyabiashara wa ndani kuscale back biashara zao, na Watu wamegeuka kuwa " Wahifadhi akiba zaidi kuliko watumiaji".

Kwa hiyo hii imepelekea wafanyabiashara kupunguza importation, matokeo yake lazima mzigo bandarini utapungua na serikali kukosa hela!!

What is the way forward?
Ni lazima serikali itoe incentive za kikodi ( importation) ili Wananchi waresume importation hususan kutoka China ili kuzinusuru biashara za sasa hivi zinazopumulia mashine na kurevive zile ambazo zimekufa, Hali ikishastabilize then serikali inaweza kurudi polepole katika tax regime yake ( importation taxes).

Serikali ikifanya hivi itakuwa ni kama Stimulus package kupitia unafuu wa kodi za forodha!

Busara ya kale inasema, Ili umkamue ngombe atoe maziwa mengi kesho, basi mlishe vizuri leo!!!
Ok tuseme ushauri wako ni sawa .swali unapokelewa na nani haswa !!!??? Na mbaya zaidi mnavyo sema sema sana ndio kabisa mmearibu by Mr John
 
Mapato yamepungua kwa kuwa transaction taxes ie VAT and the like zimepungua.
Kumbuka, the more you buy goods and services, the more govt makes money...
Wachumi wanasema kuna elacticity of demand. Baada ya serikali kukazania kukusanya kodi, bidhaa nyingi zilipanda bei hivyo watu wengi kupunguza kuzinunua. Hata Wakongo waliokuwa wananunua mali zao Kariakoo, nao nasikia walipunguza kununua bidhaa kutokana na ughali wake.
Kwa hiyo hapo there are two things involved. Serikali kupitia TRA ingeweka refund desk pale Kariakoo na pamoja na mpakani ili wale Wakongo wanaponunua bidhaa, waweze kuwa refund zile kodi walizolipia huku ili kushusha bei ya bidhaa. Hii itachochea kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa kariakooo.
The other thing cha kufanyika ni serikali kuangalia uwezekano wa kuwapa wananchi likizo ya kulipa kodi ya VAT kwa mda wa mwaka mmoja (kwa bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi) ili kuchochea kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa hasa zile zinazozalishwa ndani ya nchi...
Hii pia itachochea ukuaji wa sekta ya uzalishaji wa bidhaa za ndani ya nchi... Tax holiday hiyo iwe ya kupunguza VAT from 18% to say 5% kwa bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja.
Hili pia litachochea kuongezeka kwa ajira maana viwanda na sekta ya uzalishaji itaweza kuongeza sales (uzalishaji) kitu ambacho kitafanya sekta ya uzalishaji kutoa ajira nyingi zaidi...
The net benefit kwa serikali kwenye hili itaweza kureflect kwenye corporate tax maana sekta ya uzalishaji itaweza kupata faida zaidi!
Lakini pia, if sales figures raises, the govt make more money aggregately.
Tufanye soda moja kwa sasa inauzwa Tsh 500, na wananchi wananunua say kreti laki moja kwa mwezi.
VAT kwenye soda itakapopungua Soda hiyo ingeweza kuuzwa Tsh 435! Na kungekuwa na uwezekano wa kuuza kreti laki moja na nusu kwa mwezi kutokana na punguzo hilo.
So iwapo kwa kreti laki moja, serikali ingepata VAT ya Tsh 2000*100,0000 =200,000,000
Kwa rate ya 5% VAT ingeweza kuwa Tsh 75,000,000! But with this VAT figure, we d expect the corporate profit to increase and compensate for the difference!
BRAZA KAKA HAELEWI ANATUMIA NGUVU AKILI KAIACHA WAPI SIJUI SIFA ZA KIJINGA
 
Kuna nyakati nyingine huwa unajitoa ufahamu kwa kuandika pumba humu ndani kana kwamba hujui kinachoendelea au unafanya kitu cha makusudi kwa lengo la kutibu njaa yako!. Nina uhakika mpaka unachangia uzi huu ni wazi
umeshajua wazi hali ya kiuchumi ni ngumu na ndiyo maana unachangia humu ili kupata njia mbadala ya kujikwamua kutoka kwenye hali hii ya sintofahamu
 
....Si na wewe ulete data zako?
Ukiona kimya bila kanusho ujue kisu mfupani!!! Utasikia uchochezi...Zerro anamwita mtu....hadi siku hao kina Zerro wakose salary waingie mitaani kupora ndio wataelewa....wabunge upinzani ndio kazi yaooo....waachwe waongee sababu wana haki access data sehemu yeyote hata wakinyimwa na awamu hii ila wapo wazalendo watawa tuuu....ambao hawapendi mkono wa chuma
 
Kuna nyakati nyingine huwa unajitoa ufahamu kwa kuandika pumba humu ndani kana kwamba hujui kinachoendelea au unafanya kitu cha makusudi kwa lengo la kutibu njaa yako!. Nina uhakika mpaka unachangia uzi huu ni wazi
umeshajua wazi hali ya kiuchumi ni ngumu na ndiyo maana unachangia humu ili kupata njia mbadala ya kujikwamua kutoka kwenye hali hii ya sintofahamu
Ha haa! Mkuu, hivi kuna siku nimeshawahi kujitoa ufahamu? Sikumbuki... 🙄
 
Wewe humchori mtu yeyote, sanasana unajichora mwenyewe. Halafu eti unauliza kwanini awe biased? Hauko serious wewe!
Nimekupa ushauri tu, next time before you start arguing, look up for information first.
 
Kwa hiyo wewe ukiwa huna data, unamuamini Zitto? Why?
Kwanini unamuamini mtu ambaye definitely unajua atakuwa biased? Huyo ni mwanasiasa na kazi ya mwanasiasa ni kupigania madaraka. Ukiwa upinzani, unaiponda serikali na vice versa.
Bila data, ni majungu tu mtakua mnajadili.

Hii ni post ya ngapi sijui unapost kwenye huu uzi. Umebaki kejeli tu, huna data za kweli wala za uongo. Yeye Zitto kaleta za uongo unakataa kakini ww huna hizo za kweli. Haya basi tuchukulie Zito ana data za uongo, basi sema nini kifanyike uchumi utoke hapa ulipo kwenda mbele, hilo nalo huna unaloongea.

Ww ndio wale mafala mlioko hapa jukwaani kujaza server kutetea upuuzi. Tuambie ni kipi kinachofanya TRA wasitangaze mapato kama hali ni nzuri. Kinachowapa tabu mlikuwa watu wa lugha za kejeli ila sasa ukweli uko wazi na hamna mbinu yoyote zaidi ya vitisho vya kijinga.
 
Newton's Third Law of Motion states that for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction.

Tujiulize bomoa bomoa ya Kimara had I Kiluvya (hivi sasa inaelekea Ubungo) ilikuwa in Kwa faida ya nani ilihali Kwa mujibu wa Sheria ya Barbara ya 2007 Na Kanuni zake za 2009 eneo linalohitajika kwa upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa ya njia 6 ni Mira 19.5 tu.

Katika hifadhi halali ya barabara ya Mita 30 kila upande; eneo la Mita 40.5 kusalia kwa ajili ya upanuzi wa baadaye. Tujiulize ni shughuli ngapi za kiuchumi, ajira vimesambaratishwa katika bomoa bomoa hiyo ili kukidhi matakwa ya kuwakomoa wananchi waluotumia haki zao za Kikatiba kuchagua wagombea toka vyama vya upinzani?

Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ya Kifizikia niliyoinukuu hapo juu "Nguvu (Nishati) kubwa iliyotumika kutekeleza uovu huo lazima itakuwa na madhara yenye nguvu sawa. Na ndiyo inayochangia kstika huu mtanziko wa kiuchumi tunaoushuhudia sasa.
 
Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600.

Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini kuwa tunaweza kutoa mawazo yetu Constructively ili kama yatawapendeza wenye maamuzi basi watachukua hili na lile ili kulifanyia kazi, na lau kama hayafai au hayatoshi basi sisi raia tutakuwa tumetimiza wajibu wetu wa kutoa mawazo na maoni yetu kwa mujibu wa katiba inavyoturuhusu.

Swali la Msingi je ni nini hasa huenda kimepelekea hali ya mapato kupungua

Na Je Tufanyeje sasa kama nchi na serikali ili mapato yaweze kuongezeka?

Nakaribisha mjadala!
Serikali Hailipi Madeni ya Ndani Mfumo wa Uchumi Mbovu Ni wa Kuwakomoa Wananchi 'No Welfare Economy' Soma Hapa>the definition of welfare economics
 
serikali inapaswa itusikilize, nataka nikupe evidence ya kwanza kuusiana na hii report, collection kubwa ya TRA inatokana na Paye, hivi ni watu wangapi wamekuwa retrenched leo? kitu kingine ni kwamba ili uchumi upande unategemea mauzo yanayotoka ndani kwenda nje ambayo yameshuka by 46% kutokana na report ya BOT, sehemu iliyokuwa inaongoza kwa collection kubwa ni bandari, ambako hakuna mizigo ya kutosha, Banks zinahaa kwa sababu mikopo mingi hailipiki, arafu disposable income kwenye mikono ya watu haipo ata mtaani ukiingia watu hawana hela kabisa.
 
Back
Top Bottom