Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

Mapato yamepungua kwa kuwa transaction taxes ie VAT and the like zimepungua.
Kumbuka, the more you buy goods and services, the more govt makes money...
Wachumi wanasema kuna elacticity of demand. Baada ya serikali kukazania kukusanya kodi, bidhaa nyingi zilipanda bei hivyo watu wengi kupunguza kuzinunua. Hata Wakongo waliokuwa wananunua mali zao Kariakoo, nao nasikia walipunguza kununua bidhaa kutokana na ughali wake.
Kwa hiyo hapo there are two things involved. Serikali kupitia TRA ingeweka refund desk pale Kariakoo na pamoja na mpakani ili wale Wakongo wanaponunua bidhaa, waweze kuwa refund zile kodi walizolipia huku ili kushusha bei ya bidhaa. Hii itachochea kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa kariakooo.
The other thing cha kufanyika ni serikali kuangalia uwezekano wa kuwapa wananchi likizo ya kulipa kodi ya VAT kwa mda wa mwaka mmoja (kwa bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi) ili kuchochea kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa hasa zile zinazozalishwa ndani ya nchi...
Hii pia itachochea ukuaji wa sekta ya uzalishaji wa bidhaa za ndani ya nchi... Tax holiday hiyo iwe ya kupunguza VAT from 18% to say 5% kwa bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja.
Hili pia litachochea kuongezeka kwa ajira maana viwanda na sekta ya uzalishaji itaweza kuongeza sales (uzalishaji) kitu ambacho kitafanya sekta ya uzalishaji kutoa ajira nyingi zaidi...
The net benefit kwa serikali kwenye hili itaweza kureflect kwenye corporate tax maana sekta ya uzalishaji itaweza kupata faida zaidi!
unaposema serikali ipunguze VAT kwa muda wa mwaka mmoja....sasa baada ya huo mwaka kuisha si bei itaongezeka tena na tatizo kurudi pale pale?
 
Kwa hiyo nyie mnakubali na mnaamini makusanyo ya kodi yamepungua mpaka bilioni 600 kwa mwezi? That's absurd! Hamna kielelezo chochote mnachotumia zaidi ya majungu.
Wewe toa data sahihi. Makusanyo ya mwezi uliopita ni kiasi gani???Usikanushe taarifa kama huna data zozote.
 
Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600.
Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini kuwa tunaweza kutoa mawazo yetu Constructively ili kama yatawapendeza wenye maamuzi basi watachukua hili na lile ili kulifanyia kazi, na lau kama hayafai au hayatoshi basi sisi raia tutakuwa tumetimiza wajibu wetu wa kutoa mawazo na maoni yetu kwa mujibu wa katiba inavyoturuhusu.

Swali la Msingi je ni nini hasa huenda kimepelekea hali ya mapato kupungua

Na Je Tufanyeje sasa kama nchi na serikali ili mapato yaweze kuongezeka?

Nakaribisha mjadala!
Weak system produces weak politicians and weak economists; na sector zingine. Zitto anasema ukusanyaji wa mapato umepungua hadi kufikia billion 600; kutoka ngapi?? 2 trillions? Were 2 trillons enough? No.

Tanzania haijawahi kuwa na strong economy; na haijawahi kuwa na strategy kujikwamua kwenye umasikini; ila rushwa, kulindana, na kudumisha utawala wa CCM. WE are good on that.

Je Magufuli amefanya vyema kwenye uchumi? Jibu; ni kuwa anajaribu kuziba mirija ya rushwa, lakini hana strategy yoyote kuhusu uchumi. Anaongelea viwanda ambavyo ni backbone ya economy; lakini hajaongea wala hana plan kuwa what kind ya viwanda tunahitaji katika hii early stage ya industrialization. Infrastructure and stability. Lakini how can you do that when you divide your own people in party lines?? Sasa hivi kuna very big divide, hate, ya rival politicians; matajiri na masikini nk.

Lazima tuwe na priorities; je export based economy versus kujenga makao makuu kipi muhimu?? We have AGOA, and EPA lakini hatuwezi hata ku exploit. Leo miaka karibu 60 tangu tupate uhuru bado tunauza pamba na tunaagiza nguo na viatu vya kuvaa kutoka nje. Tunaagiza chakula pamoja na arable land tuliyonayo. Simply we are good for nothing.

Baada ya miaka 60 ya uhuru bado barabara zinajengwa na wageni!! You know how much is about construction industry?? A lot of money.

Magufuli need to know this; go for AGOA, EPA (export oriented economy) and then revamp our construction industry for our local companies.
 
Kwa hiyo nyie mnakubali na mnaamini makusanyo ya kodi yamepungua mpaka bilioni 600 kwa mwezi? That's absurd! Hamna kielelezo chochote mnachotumia zaidi ya majungu.
kwanini taarifa za mapato hazitangazwi kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu wa awali?
 
Wananchi wote wakipewa tax break, say VAT ishushwe kwa muda wa mwaka mmoja hivi to virtually 5% uchumi wa kila mwananchi utaongezeka kwa factor of the savings he will be enjoying from tax brake!
Mfano, wewe kwa mwaka unanunua bidhaa na hudumuma (household expenditure) zenye thamani ya milioni 20,000,000 ambazo unazilipia Vat ya karibu milioni nne. Unapopewa tax break (VAT:18%-5%=13%), ina maanisha utaweza kununua huduma nyingine zaidi na hivyo kuongeza mauzo ya biashara nyingine au utaweza kufanya Savings= Investment=2,600,000 na utaweza kufanya miradi mbali mbali ya maendeleo ambayo itakuingizia fedha zaidi...
This is theoretically true. Shida inakuja, Iwapo wananchi watapewa tax break ya VAT, serikali itapata wapi mapato?

Hii ni njia aliyotumia mzee Ruksa kujaribu kuwapunguzia wananchi makali ya maisha!!. Akashutumiwa sana kuwa hakusanyi kodi!!
 
unaposema serikali ipunguze VAT kwa muda wa mwaka mmoja....sasa baada ya huo mwaka kuisha si bei itaongezeka tena na tatizo kurudi pale pale?
Hapana, hali ya uchumi ya mwananchi ikiboreka that means, in futre an individual will be able to afford to buy more goods and services hata kama bei itaongezeka. Alafu ongezeko linakuwa ni adjustment. You can not come from 5 to 18. You adjust say from 5 to 10 to 15 to 18 to reduce the shock and the impact to the economy!
 
Wewe toa data sahihi. Makusanyo ya mwezi uliopita ni kiasi gani???Usikanushe taarifa kama huna data zozote.
Wewe una data? Kwanini unasema mapato yamepungua wakati huna data?
 
Wewe una data? Kwanini unasema mapato yamepungua wakati huna data?
Mimi sina ndiyo maana kwa sasa nakubaliana na alichosema Zitto. Wewe umekataa. Nina hakika hujakataa for the sake of it.
 
But kitu kingine nadhani ile sera ya kuondoa pesa za serikali kwenye mabenki ya biashara na kuzirudisha benki kuu huenda ilileta instability katika shughuli za kawaida za kibenki kama vile utoaji wa mikopo, therefore biashara ambazo zilitegemea mikopo ya kibenki zisimame lazima ziliyumba!.Hii yote eventually inaathiri hadi purchasing power za watu na matokeo yake biashara nyingine nazo hazitoki!. Ikifikia hapa Mfanyabiashara aliyekuwa na Stock ya mzigo wake ili auuze ndani ya nchi atalazimika auexport mzigo huohuo kwenda nchi za jirani kama Rwanda, Malawi, Congo ili auuze, arudishe walau pesa zake, then baada ya hapo atanyuti bila kufanya biashara akisikilizia hali ikae sawa!, sasa along the process uchumi utakuwa unasinyaa tu!!
 
Mimi sina ndiyo maana kwa sasa nakubaliana na alichosema Zitto. Wewe umekataa. Nina hakika hujakataa for the sake of it.
Kwa hiyo wewe ukiwa huna data, unamuamini Zitto? Why?
Kwanini unamuamini mtu ambaye definitely unajua atakuwa biased? Huyo ni mwanasiasa na kazi ya mwanasiasa ni kupigania madaraka. Ukiwa upinzani, unaiponda serikali na vice versa.
Bila data, ni majungu tu mtakua mnajadili.
 
Kwa nini awe biased? kwani kujua makusanyo ya mwezi ya nchi ni rocket science? unafikiri information hizi hazipo? kwanza tunakuchora tu na uvivu wako wa kupata taarifa. Kwa taarifa yako taarifa hizi ziko. Do your home work, look up. Zipo.
 
Itakuwa vita vya kiuchumi ndo kupelekea kushuka kwa uchumi
 
Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600.

Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini kuwa tunaweza kutoa mawazo yetu Constructively ili kama yatawapendeza wenye maamuzi basi watachukua hili na lile ili kulifanyia kazi, na lau kama hayafai au hayatoshi basi sisi raia tutakuwa tumetimiza wajibu wetu wa kutoa mawazo na maoni yetu kwa mujibu wa katiba inavyoturuhusu.

Swali la Msingi je ni nini hasa huenda kimepelekea hali ya mapato kupungua

Na Je Tufanyeje sasa kama nchi na serikali ili mapato yaweze kuongezeka?

Nakaribisha mjadala!

Kama haya yanayoelezwa ni ya kweli, basi hakuna a single button pressing solution kwa hali hii:

1. Sehemu kubwa ya mapato ya serikali yanatokana na kodi. Kodi inatokana na biashara ambazo zipo eligible kulipiwa kodi iwe manufacturing, import tax, excise duty, VAT,PAYE etc. Kumekuwepo na kelele sana kwa miaka miwili kuhusu kuyumba kwa biashara nchini either kwa kufungwa, kupunguza uzalishaji, au kukosekana kwa uwekezaji mpya. hali hiiimepelekea kupunguza mauzo, na kupunguza labor force- kwa hali hii all associated tax revenue zinapotea

2.
Kurudisha uchumi kwenye momentum yake itahitaji mbinu ambazo zitafanya wafanyabiashara wawe na confidence kuwa mitaji yao itakuwa salama! Na hii siyo jambo ambalo linaweza kufanyika overnight. Ni jambo shirikishi ambapo private sector inabidi ihusishwe kwa kiwango kikubwa
 
Serikali ijitafakari inapokosea na ijirekebishe kwa maendeleo ya wananchi wake
 
Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600.

Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini kuwa tunaweza kutoa mawazo yetu Constructively ili kama yatawapendeza wenye maamuzi basi watachukua hili na lile ili kulifanyia kazi, na lau kama hayafai au hayatoshi basi sisi raia tutakuwa tumetimiza wajibu wetu wa kutoa mawazo na maoni yetu kwa mujibu wa katiba inavyoturuhusu.

Swali la Msingi je ni nini hasa huenda kimepelekea hali ya mapato kupungua

Na Je Tufanyeje sasa kama nchi na serikali ili mapato yaweze kuongezeka?

Nakaribisha mjadala!
Mazingira ya uwekezaji kwa sasa ni mabaya na hakuna mwekezaji anayekubali kuwekeza mtaji wake wakati hana uhakika wa usalama wa Mtaji wake. Serikali iache kuwatisha wawekezaji, kinachotakiwa ni kujenge mazingira mazuri itakayokubaliana na mwekezaji ya namna ya ulipaji kodi bila kusahau kuwawezesha wananchi wawe na uwezo wa kununua bidhaa zitakazozalishwa bila kufanyika haya kuna siku ambayo naona inakaribia itatafuta hata fedha za kulipa mishahara watumishi wake
 
Back
Top Bottom