Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,283
- 9,033
Siyo lazima uangalie mapato, unaweza kuangalia Treasuries zinazouzwa (bills and bonds), bei yake na Yield. Unaweza kuangalia pia over na under- subscription ya treasury bills na bonds ukajua kama serikali inapata hela kutoka sources nyingine au la.Hii ni post ya ngapi sijui unapost kwenye huu uzi. Umebaki kejeli tu, huna data za kweli wala za uongo. Yeye Zitto kaleta za uongo unakataa kakini ww huna hizo za kweli. Haya basi tuchukulie Zito ana data za uongo, basi sema nini kifanyike uchumi utoke hapa ulipo kwenda mbele, hilo nalo huna unaloongea.
Ww ndio wale mafala mlioko hapa jukwaani kujaza server kutetea upuuzi. Tuambie ni kipi kinachofanya TRA wasitangaze mapato kama hali ni nzuri. Kinachowapa tabu mlikuwa watu wa lugha za kejeli ila sasa ukweli uko wazi na hamna mbinu yoyote zaidi ya vitisho vya kijinga.
Miradi ya barabara na reli inafanyika, wafanyakazi wanalipwa na mauzo ya treasuries yapo palepale, hayajaongezeka wala nini.
Sasa wewe huoni kuwa hiyo ni sababu tosha ya kuona kuwa Zitto haongei ukweli? Maana si mara ya kwanza na data zikija baadae mnasema zimepikwa.
Msilazimishe mambo yasiyo ya kweli.