Kuhusu fasihi za kiafrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu fasihi za kiafrika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PARRIE KIJIKO, Sep 17, 2012.

 1. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chinua Anchebe v/s Ngungi wa thiongo
  ni matumaini wengi wetu tumewahi kukutana na haya majina kwenye makava ya vitabu darasani au hata nyumbani
  Chinua Anchebe anasifika kwa kazi kama "A man of the people","no longer at ease","things fall apart" et
  ngungi yeye ni "the black hermit","weep not,child" ,"grain of wheat" etc
  wote wawili wameandika kazi za aina tofauti tofati(riwaya,tamthiliya.ushairi na hadithi fupi)
  on the stand of novels(riwaya) who do you think was/is the best kwenye ubora wa kazi,utunzi mzuri na uelimishaji?
  Ngungi wa thiong'o(kenya) v/s chinua anchebe(nigeria)
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  chinua ndo mwenyewe unaijua 'the concubine'?acha kabisa!
   
 3. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  the concubine sijafanikiwa kuisoma,but nitakitafuta!.even ngungi ni hatari hahahaha
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah ni noma i see,the great ponds nayo ni balaa!ngugi ni mzuri lakini theme zake zinafanana sana!
   
 5. A

  Arnold Ndosi Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wote Wakali ila sema nini,ukweli utabaki palepale! weeeeee! achebe aaaa! Noma.kumbuka,akina Max,odili Samalu,edna,chief Nanga,koko,nk(a Man Of The Pple,??? ??. I Like It.LAKN HATA HVO UMEFANYA MAKOSA MR KIJIKO HAIWEZEKANI KUMSHINDANISHA A PLAY WRIGHT NA NOVELIST.NI SAWA NA KUWASHNDANISHA, MICHAEL JACKSON NA R KELLY.
   
 6. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wote wawili wemeandika plays&novels eg. Ngungi ana this time tommorow(play) na weep not,child(novel),in any case wanakutana tu
   
Loading...