A
eleza kidogo seran, kwa nini haiwezekani?Haiwezekani!
Huko ni kuuvuruga mfumo mzima, na huo wepesi mnaoutaka utasababisha shida kwa familia nyingi, ukizingatia serikali haitaweza kubeba watoto wataotelekezwa, kwahiyo migogoro itayatofuata hapo sio ya kitoto!eleza kidogo seran, kwa nini haiwezekani?
Mama lazima ahusike kwakuwa yeye ndio atakayetoa confirmation ya kuwa mtoto amezaliwa naye. Na yeye huwa wa kwanza kuoanisha DNA zake na za mtoto.Ni ujinga wa serikali yetu tu. Eti ukitaka kupima DNA lazima na mama wa mtoto awepo. Mimi baba nataka kujihakikishia huyu mtoto ni wangu. Kwa nini mama ahusike kupimwa?
Nimeelewa kwamba hata mama anaweza asiwe yeye kutokana na mazingiraMama lazima ahusike kwakuwa yeye ndio atakayetoa confirmation ya kuwa mtoto amezaliwa naye. Na yeye huwa wa kwanza kuoanisha DNA zake na za mtoto.
Embu fikiri: mkeo kazaa mtoto halali kabisa na wewe. Kwa kunua au kutokujua wale waliomzalisha wanambadilisha huyo kwa mtu mwingine, na mkeo anapewa mtoto mwingine. Hapo mkipima, obviously, mtoto anakuwa sio wako. Hapo halijaumana?
Waana kwanza kuhakiki kama huyo kazaliwa na huyo mama? Halafu uaminifu wa mkeo kwako ndio utakaofata.