Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

Nimekuwa nikikutana na scenarios in real life na mitandaoni juu ya malalamiko ya watu zaidi ya mara Tano Sasa kuhusiana na vipimo vya DNA wanalalamika majibu yanayotoka kwa mchemia kutofautiana na majibu yanayofanywa sehemu nyingine ikiwa ni nje ya nchi na hata ndani kupitia maabara ambazo ni reputable kabisa, na mwingine hata kwa kutumia elimu mdogo tu ya group la damu la mtoto ilionesha baba hawezi kuwa uyo alisemwa ndie sahihi kupitia vipimo vya mkemia. Je Kuna namna haya mambo kuanzia ustawi wa jamii watu kuanza kutengeneza empathy na kuona mtoto atakuaje bila baba na kuamua kumsingizia mtu tu ili mtoto awe na right future.

Kwanini icho kipimo kisihiwe free kwa yeyote mwenye kuhitaji afanye popote na maabara zianze kufanya kwa uwazi, huu utaratibu wa kupita kwa ustawi wa jamii na kuanza kusikiliza historia ya wahusika Kuna namna inawezekana inachangia kuleta majibu kulingana na mahitaji na sio kulingana na mAtokeo ya vipimo.

Kama maabara zetu zinapitia vigezo na ukaguzi ili ziaminiwe kufanya kazi basi zipewe uhuru na Hali ya kupima DNA kama vipimo vingine tu au siqnzishwe clinic independ za partenity tests bila kupitishana kwenye hatua za ustawi wa jamii ambako Kuna namna izo kesi hapo juu zinatokea.
 
Ni ujinga wa serikali yetu tu. Eti ukitaka kupima DNA lazima na mama wa mtoto awepo.

Mimi baba nataka kujihakikishia huyu mtoto ni wangu. Kwa nini mama ahusike kupimwa?
 
eleza kidogo seran, kwa nini haiwezekani?
Huko ni kuuvuruga mfumo mzima, na huo wepesi mnaoutaka utasababisha shida kwa familia nyingi, ukizingatia serikali haitaweza kubeba watoto wataotelekezwa, kwahiyo migogoro itayatofuata hapo sio ya kitoto!
 
Ni ujinga wa serikali yetu tu. Eti ukitaka kupima DNA lazima na mama wa mtoto awepo. Mimi baba nataka kujihakikishia huyu mtoto ni wangu. Kwa nini mama ahusike kupimwa?
Mama lazima ahusike kwakuwa yeye ndio atakayetoa confirmation ya kuwa mtoto amezaliwa naye. Na yeye huwa wa kwanza kuoanisha DNA zake na za mtoto.

Embu fikiri: mkeo kazaa mtoto halali kabisa na wewe. Kwa kunua au kutokujua wale waliomzalisha wanambadilisha huyo kwa mtu mwingine, na mkeo anapewa mtoto mwingine. Hapo mkipima, obviously, mtoto anakuwa sio wako. Hapo halijaumana?

Waana kwanza kuhakiki kama huyo kazaliwa na huyo mama? Halafu uaminifu wa mkeo kwako ndio utakaofata.
 
Mama lazima ahusike kwakuwa yeye ndio atakayetoa confirmation ya kuwa mtoto amezaliwa naye. Na yeye huwa wa kwanza kuoanisha DNA zake na za mtoto.

Embu fikiri: mkeo kazaa mtoto halali kabisa na wewe. Kwa kunua au kutokujua wale waliomzalisha wanambadilisha huyo kwa mtu mwingine, na mkeo anapewa mtoto mwingine. Hapo mkipima, obviously, mtoto anakuwa sio wako. Hapo halijaumana?

Waana kwanza kuhakiki kama huyo kazaliwa na huyo mama? Halafu uaminifu wa mkeo kwako ndio utakaofata.
Nimeelewa kwamba hata mama anaweza asiwe yeye kutokana na mazingira
Mimi naona ni sahihi kabisa vipimo vifanyike kwa uwazi bila kupindisha labda wanawake wangeecha tabia ya kubambikizia watu watoto
Kwann umbambikie mtu mtoto sio wake halafu unaona ni sawa poleni sana wanaume sometimes mnapitia mengi
 
Ni ujinga kumlazimisha mtu alee mtoto asiye wa kwake.

Hakuna sababu yoyote inayoweza kutetea huo ujinga. Mama yake hakubakwa alienda mwenyewe. Kwanini niwe na mzigo wa kubeba mtoto wa mtu asiyenihusu?
 
Back
Top Bottom