Trippier
Member
- Aug 30, 2018
- 86
- 22
bado ujafanikiwa??kuna aliyefanikiwa kuconfirm UDOM
bado ujafanikiwa??kuna aliyefanikiwa kuconfirm UDOM
jaribu kuwasiliana naomsaada kuna Mdogo wangu kachaguliwa NIT lakn code hajatumiwa alafu confirmation waandika kabla ya September 6 wakati ishapita
addimission support hawapokei simujaribu kuwasiliana N
ATO
Jamani mwenzenu st john wameandika status pending sijui Ntachaguliwa?msaada kuna Mdogo wangu kachaguliwa NIT lakn code hajatumiwa alafu confirmation waandika kabla ya September 6 wakati ishapita
bado hujatumiwa?Iv mpka time i kna mbaye bado ajapata code ??
pending maana ake uendelee kusubiriJamani mwenzenu st john wameandika status pending sijui Ntachaguliwa?
bado ndio mkuuIv mpka time i kna mbaye bado ajapata code ??
wasiliana na chuo me walinitumia jana leo ndio imekubalii kesho mwishooNdio
wasiliana na chuo me walinitumia jana leo ndio imekubalii kesho mwishoo
chuo gaan?? ila mi code walituma tcu wenyewNaomba mawasiliano yao mkuu
walinipigia simu jana wa comfirm kama ntaenda na wakaniambia zoezi la kutuma code litaaza si mda mrefu leo wamenambia wapo wanaziandaa ni nying leo au kesho zitakua zishatumwaaa
walitumaaUshamtumiwa code?
walitumaa
wameziweka za kutosha kweny online application system ao ingia palee utazipataNaomba unisaidie namba za UDOM niwapigie
Me sijapat jamn... Yn nawaza kama nn hap nilipoIv mpka time i kna mbaye bado ajapata code ??
piga admissionMe sijapat jamn... Yn nawaza kama nn hap nilipo