Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,704
Mtoa bikra anaweza akumbukwe au asikumbukwe inategemea ilitolewa katika mazingira gani..kama ni kwa upendo na ali-enjoy then atamkumbuka...kama alibakwa hatamkumbuka na atalichukia tendo lenyewe...kama ni kwa upendo lakini haku-enjoy hatamkumbuka pia.