Kuhusu Albert Einstein

Kuhusu Albert Einstein

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
According to Albert Einstein, if honey bees were to disappear from earth, humans would be dead within 4 years

Hapa sijaelewa kwa nn anasema hivyo

naomba kujuzwa au ana maana kuwa

because there would be no more honey so honey bears will then eat all people. This takes 4yrs!
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula

According to Albert Einstein, if honey bees were to disappear from earth, humans would be dead within 4 years

Hapa sijaelewa kwa nn anasema hivyo

naomba kujuzwa
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

4yrs,uchavushaji wa nyuki ni asilimia ngapi ktk uchavushaji?
 
Mosi mimi sio mtaalamu wa Kilimo
Mbili, sifahamu idadi ya population ya honey bees
Tatu, sijui idadi ya maua ya mimea yote ulimwenguni
Hivyo swali lako halitaweza kupata jibu kutoka kwangu
 
Du! mkuu ulivomkana!!
 
swali langu linatokana na ulichokiandika hapo juu,kama alivyosema Ndibalema si vizuri kunikana chief

Hahah nilikuelewa sana mtu wangu, lakini jibu la swali lako linahitaji takwimu zaidi ya uelewa wa swali la msingi toka kwa Boflo.
Hivyo mkuu jibu langu lilizingatia tu swali, na kitu pekee kilichohitajika ni FACTS and that's is what i just did
 
I doubt this is an authentic Einstein quote. Unfortunately, due to his fame, many an urban legend are passed along under the Einstein signature.

Unaweza kunipa source?
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula

so no nyuki less pollination hence less food na mwisho life ya binadamu inakuwa kwenye hatihati!
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula

Hivi nyuki ndo anayefanya pollination peke yake??? What about butterfly, sting, na upepo kwa baadhi ya mimea..
 
"Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination."

Katika maelezo yangu nadhani nukuu ya hayo maandishi utakuwa umeiona.

Hivi nyuki ndo anayefanya pollination peke yake??? What about butterfly, sting, na upepo kwa baadhi ya mimea..
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula
Kama hivyo ndivyo ilivyo binadamu kwa nini hatuwaenzi nyuki? Akiuawa tembo tunapiga keleeeeele kumbe muhimu kwa uhai ni nyuki?
 
Kwenye Ecosystem kila kiumbe hai kina umuhimu...i guess hata Tembo wana umuhimu wao pia ingawa sio direct kama ilivyo kwa nyuki

Kama hivyo ndivyo ilivyo binadamu kwa nini hatuwaenzi nyuki? Akiuawa tembo tunapiga keleeeeele kumbe muhimu kwa uhai ni nyuki?
 
Mosi mimi sio mtaalamu wa Kilimo
Mbili, sifahamu idadi ya population ya honey bees
Tatu, sijui idadi ya maua ya mimea yote ulimwenguni
Hivyo swali lako halitaweza kupata jibu kutoka kwangu
Dooh
umeruka futi 100
 
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.

NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula

Ni dhahiri unebobea kibaojia!
Sante ! It's subject enough! Na mbegu zetu zingekua zinachavushwa na nyuki, "ngoma" isingetuhusu!
 
Back
Top Bottom