Kuhusu Albert Einstein

Kuhusu Albert Einstein

Dooh
umeruka futi 100

Hahahah...mbona sijaruka weye
Swali la Boflo nimelitendea haki kwa kulijibu ipasavyo, hizo side questions nadhani inabidi ziundiwe threads nyingine lol
 
Ni dhahiri unebobea kibaojia!
Sante ! It's subject enough! Na mbegu zetu zingekua zinachavushwa na nyuki, "ngoma" isingetuhusu!

In that particular case, mimi watu8 ningependa niwe nyuki
Kazi yangu ingekuwa ni kubeba mbegu za kiume na kwenda kuzitia katika kiungo stahiki cha mwanamke
 
Hahahah...mbona sijaruka weye
Swali la Boflo nimelitendea haki kwa kulijibu ipasavyo, hizo side questions nadhani inabidi ziundiwe threads nyingine lol
Haswaaa
 
Hii sio ya Albert Einsten...ni ya Boflo ambaye kwenye zile ngoma ndio Albert Einstein wao,lol!
 
Nyie Boflo hii kaileta kama 'chai' nyie munaichukulia serious!
 
Back
Top Bottom