Samahani wakubwa ivi kwa aliyesoma au anaejua comb ya HKL eti kuna coz nyingne ambayo ni rahisi kupata ajira ata kama serikali itachelewa kutoa ajira kwa anaejua basi atuambie wadogo zenu hatuelewi yani ni coz ipi iko poa sana kwenye ajira
Unaweza kusoma hata sheria ukiwa bright kama uko bright utakuwa wakili hata wakujitegemea kama kina Kibatala na wakili wengine wanaoweza kujitegemea ukaingiza hata milion 5 kwa kesi moja tu unayosimamia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.