Acha unaaaaa wewe, wewe hujawahi kosea bahati mbaya bhana, wengine mnaboa kichizi yaaniMtoa mada ni mwalimu? Aiseee...
Acha unaaaaa wewe, wewe hujawahi kosea bahati mbaya bhana, wengine mnaboa kichizi yaaniMtoa mada ni mwalimu? Aiseee...
Andika AJIRA.Jaman Wana Jamii forum, naomba mnisaidie kwa hili, nime sikia tete si kwamba serikali eti kwenye mpango wa kuajiri walimu mwaka huu 2016, itaajiri hata wale walio maliza masomo mwaka huu 2016 yaan mwezi may 9,yaan walio Pata matokeo July 18, SASA NAOMBA ANAYE FAHAMU VIZURI, juu ya mpango huu anijuze, nitashukur sana, nawatakieni siku njema yeye Baraka na fanaka.