mamba1
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 466
- 248
Amekaria msumari wa moto we umalije juzi leo upate ajira nyie ndo mnasumbua makazinandika vizuri unakimbilia nini?
Amekaria msumari wa moto we umalije juzi leo upate ajira nyie ndo mnasumbua makazinandika vizuri unakimbilia nini?
Amekaria msumari wa moto we umalije juzi leo upate ajira nyie ndo mnasumbua makazin
Kaka umeitoa wapi hii?Polisi wamesitishiwa ajira kwa muda wa miaka mitatu nawasiwasi na huku kwa walimu watasitisha muda sio mrefu
Waziri wa mambo ya ndani juz alikua CCP MOSHI mkuuKaka umeitoa wapi hii?
Ndo walimu wa dot.comMtoa mada ni mwalimu? Aiseee...
kama uhaba ni walimu wa sayansi basi waajiriwe kwanza haohao na sisi wa arts tuone kweli sayansi diliwalimu wa arts wsna kipind kimoja kwa week bado mtu anataka aje huku??????!!!!! hii serikali itilie mkazo sekta nyingne na iwe waz kweli kama inahitaj walimu isingewaacha mwaka mzima mtaan wanajiuliza jf daily poleni ila uhaba ni science teachers
Pia ni "halafu" sio harafuHarafu ni ajira na siyo ajila
Kwanini hata hao wa sayansi mpaka leo hawajaajiriwa?walimu wa arts wsna kipind kimoja kwa week bado mtu anataka aje huku??????!!!!! hii serikali itilie mkazo sekta nyingne na iwe waz kweli kama inahitaj walimu isingewaacha mwaka mzima mtaan wanajiuliza jf daily poleni ila uhaba ni science teachers
Halafu acha uongo police wameajiriwa juzi tu hata mwezi haujapita wewe unasema niniPolisi wamesitishiwa ajira kwa muda wa miaka mitatu nawasiwasi na huku kwa walimu watasitisha muda sio mrefu
Wapo vituon ila hawajaanz kupewa mishaharaHalafu acha uongo police wameajiriwa juzi tu hata mwezi haujapita wewe unasema nini
Hujanielewa mkuu waliopo hapa ndo intek ya mwishoHalafu acha uongo police wameajiriwa juzi tu hata mwezi haujapita wewe unasema nini