Kuhusu ajila za ualimu 2016

Kuhusu ajila za ualimu 2016

Joined
Mar 29, 2014
Posts
26
Reaction score
9
Jaman Wana Jamii forum, naomba mnisaidie kwa hili, nime sikia tete si kwamba serikali eti kwenye mpango wa kuajiri walimu mwaka huu 2016, itaajiri hata wale walio maliza masomo mwaka huu 2016 yaan mwezi may 9,yaan walio Pata matokeo July 18, SASA NAOMBA ANAYE FAHAMU VIZURI, juu ya mpango huu anijuze, nitashukur sana, nawatakieni siku njema yeye Baraka na fanaka.
 
Endelea kusikia ndugu
 
Kiswahili kinapita kipindi kigumu sana. Kinaharibiwa na watu ambao walipaswa kukiongea na kukiandika vizuri. "Kuusu ajila.." sijui lugha ya wapi hii.
 
Polisi wamesitishiwa ajira kwa muda wa miaka mitatu nawasiwasi na huku kwa walimu watasitisha muda sio mrefu
Mmh..mkuu mwaka 2014 polisi waliajiriwa..then mwaka jana wameenda depo kama unakumbuka kipindi cha uchaguzi wakawa wanasambazwa halmashauri..mwaka huu sijajua.
 
izi ndoto zingine za asubuhi kabisa
kiufupi ajira zimesitishwa kwa sasa hatuna hata hela ya kuwalipa wanafunzi wa field za kuajiri walimu tutatoa wap na safar ya dodoma na iyo subirin labda next budget on july 2017
 
Lakini kwa jinsi wizara ilivyotoa mwongozo mwaka huu jinsi ya kutuma majina ya wahatimu kutoka vyuoni, ni kama kwamba waliomaliza mwaka huu watatakiwa kuapply online hizo ajira si kuajiriwa moja kwa moja.

Ninavyohisi tu lakini msinirushie mawe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom