kuhifadhi namba za simu kwenye email

kuhifadhi namba za simu kwenye email

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
Habari za mida wandugu polen na pilikapilika za uchaguzi mwenzenu nina shida nilikua natumia simu na kuhifadh contacts kwenye email leo nataka nizitumie sizioni nina wasiwas pengine sijui mahal zilipo naomba mnisaidie namna ya kuzipata asante
 
Hv ss unatumia cm ya aina gan
 
Mkuu kwanza fanya sync kwenye simu ya awali. Kisha ingiza ile email kwenye hiyo simu ya sasa kisha fanya tena sync...
 
Back
Top Bottom