Kuhesabu muda

Kuhesabu muda

Wala sijawahi kufikiria hivyo ndio maana nikasema hakuna sehemu ambayo haina muda.

Hapa kama unakichwa ulitakiwa ujue ya kuwa nimefikiria zaidi ya wakubwa zako wanavyofikiria.

Wala sikuzingatia saa za mkononi,sababu kwangu mimi MUDA pia ni kiumbe,ufahamu huu hata wakubwa zako hawana.

Tuendelee ....
Mjumbe ulishia la ngap, nin maana ya muda?
 
"The world has no limits except the ones you make" by r. Einstein

Mjumbe karibu dunia ya elimu
Tatizo najua mipaka yangu,hata wakubwa zako hawawezi kuthibitisha ya kuwa hakuna sehemu ambayo haina muda.

Kutokujua mipaka yako ndio uvivu wa kufikiri.

Leo ni sawa sawa na wewe ufikiri namna ya kuzuia kifo. Hata ufikiria vipi kifo hakizuiliki sasa ndio utajua kati yangu mimi na wewe nani mvivu.

Nipo ....
 
Mjumbe ulishia la ngap, nin maana ya muda?

Sijui,ila nacho jua mimi MUDA ni kiumbe.

Naomba uniambie wewe MUDA ni nini ? Kisha ujiandae kujibu maswali nitakayo kuuliza.

Tuendelee ...
 
"The world has no limits except the ones you make" by r. Einstein

Mjumbe karibu dunia ya elimu

Hiyo si elimu bali ni wasi wasi,ndio maana kila kukicha wanasayansi wanakuja na nadharua mpya na kupingana.

Kwangu mimi watu wajinga wa kwanza ni Wanafalsafa na Wanasayansi,sababu mawazo yao yamejengeka katika uongo,ujinga na mashaka.

Sasa wewe huwezi kunikaribisha katika elimu haliyakuwa hujui Elimu ni nini ?

Nakuuliza swali,sasa ni nini maana ya ELIMU ?

Tuendelee ....
 
Sijui,ila nacho jua mimi MUDA ni kiumbe.

Naomba uniambie wewe MUDA ni nini ? Kisha ujiandae kujibu maswali nitakayo kuuliza.

Tuendelee ...
Ungeishia neno "sijui" ingependeza ili nikusaidie, ila ulichoendelea apo mbele ndomaana yakukuuliza ulishia la ngap, somo la sayansi primary linaeleza maana na feutures za kiumbe

Cjui kama ulikimbia umande au vp but wenda una hoja nisikufunge jitetee hoja ya Muda kua kiumbe ukitaja sifa za kiumbe zilizopo kwenye Muda.

NB: Maana ya muda nimeisema apo juu kwa mjumbe aliyeuliza muda ni nn, juss scroll up

Karibu...
 
Sayansi kwangu huwa siizingatii sana sababu imejengeka katika misingi ya kihisia na dhana na majaribio,yakiambatana na mashaka.

Yaani Sayansi ina ukomo wake.

Eleza maana ya Muda nipate faida.

Nipo ....
 
Ungeishia neno "sijui" ingependeza ili nikusaidie, ila ulichoendelea apo mbele ndomaana yakukuuliza ulishia la ngap, somo la sayansi primary linaeleza maana na feutures za kiumbe

Cjui kama ulikimbia umande au vp but wenda una hoja nisikufunge jitetee hoja ya Muda kua kiumbe ukitaja sifa za kiumbe zilizopo kwenye Muda.

NB: Maana ya muda nimeisema apo juu kwa mjumbe aliyeuliza muda ni nn, juss scroll up

Karibu...
Naomba unipe namba ya post ili niokoe muda niisome.

Maana ya kiumbe ki sayansi ina uwanja finyu sana.

Kiumbe ni kilicho umbwa na Muumba,binadamu haumbi,hata kilugha inakataa.

Wapi binadamu haumbi?? angalia usiwe unaropoka tu mkuu bila kuwa na uthibitisho.
 
Tunga sentensi ikiwa na neno "umba au kuumba" likinasibishwa kwa binadamu.

Haya mambo rahisi sana,hata kugha inakataa kuhusu kuumba kuhusianishwa na mwanadamu.

Tuendelee....
 
Naomba unipe namba ya post ili niokoe muda niisome.

Maana ya kiumbe ki sayansi ina uwanja finyu sana.

Kiumbe ni kilicho umbwa na Muumba,binadamu haumbi,hata kilugha inakataa.

Tuendelee ....
Mbona una mbwatambwata tu, taja sifa za kiumbe
 
Tunga sentensi ikiwa na neno "umba au kuumba" likinasibishwa kwa binadamu.

Haya mambo rahisi sana,hata kugha inakataa kuhusu kuumba kuhusianishwa na mwanadamu.

Tuendelee....
Kwanini lisisababishwe na binadamu watu wameumba virus wa gonjwa lenu pendwa ukimwi,sema kingine..
 
Hakuna aliyeumba virusi.

Nakuuliza swali,virusi vina roho ?

Uhai wa virusi umetokana na nini ?

Mmepewa akili,muitumie msiwe wajinga wa kuoigiwa mfano. Binadamu ameshindwa hata kuumba bawa la mbu,seuze aumbe kiumbe chenye uhai ?

Tuendelee...
 
Unaigiza kumuiga kiranga ila mimi nitakupukutisha vizuri tu...

Narudi kwako roho ni nini?

Kama unaijua roho kwanini uulize uhai umetokana na nini!...
.

NAKUPUKUTISHAA....
 
jibu kwanza maswali yangu,kisha nikujibu maswali yako.
 
Naona unaleta majigambo kwenye hakuna. Nakuuliza swali. Utaweza ?

Mimi na Kiranga hatufanani kiimani wala kimtazamo.

Siwezi kumuiga. Tujikite kwenye mada.

Tuendelee ....
 
jibu kwanza maswali yangu,kisha nikujibu maswali yako.
Kama umeijua roho na haujautambua uhai,umedabiga matara hapo mkuu nilikuhakikishia kuwa nitakupukutisha onaa sasaaa...hata hujafika mbali nimekuchalaza.....

NIMEKUPUKUTISHAA....
 
Back
Top Bottom