Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,945
Bali ni si-units za muda
SI unit ya muda (time) ni second, sec. Na si vinginevyo.
Bali ni si-units za muda
Kwaiyo hours, days, years etc ni Nini ?SI unit ya muda (time) ni second, sec. Na si vinginevyo.
Okay uko sawa basic unit of which all other quantities of time can be derived fromHivyo ni vipimo vya muda lakini havipo katika SI units (vipimo vya SI).
SI units ni vipimo sanifu vya kimataifa ambavyo vilikubaliwa kimataifa katika mkutano uliofanyika huko Ufaransa kupanga vizio vya upimaji wa pamoja duniani.
SI ni kifupi cha maneno ya kifaransa; Systeme international d'unites, kwa kiingereza ndiyo; International system of units.
Vipomo vyenyewe ni hivi hapa;
Mass----kilogram (kg)
Urefu----- mita (m)
Muda----sekunde (s)
Mkondo wa umeme---- Ampere (A)
Jotoridi---- kelvin (K)
Ukali wa mwanga----candela (cd)
Nk.