Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,423
Kiufupi muda haupo ni flngs tu za ufahamu kwa kuaminishwa...hakuna scnd dk wala saa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu....Haswaa.
Nahic unakitu nachotafta mkuu, fungua boxKiufupi muda haupo ni flngs tu za ufahamu kwa kuaminishwa...hakuna scnd dk wala saa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahic unakitu nachotafta mkuu, fungua box
Tuko pamoja,ila humo kuna faida kubwa sana kuhusu MUDA.
Nipo ...
Yap na pia sidhani Kama kuna past time na future time ,nadhani Nazo ni just imaginary.Kadri ww unavyomshangaa nzi kwa kuishi siku7 ndivyo kuna viumbe wanavyokushangaa ww kuwepo kwa sumni chache zaidi na kutoweka,muda au wakati ni adhma isiyo na uwepo haipo...bali ufahamu ndio unaohisi uwepo wa wakati lakini adhma iyo haipo maana tulipo tupo hatusogei na chochote wala kwenda popote kwa adhma lengwa ya muda,ili kukubaliana na haya...
Mpaka leo bustani(dunia)haitambuliki ina umri upi sahihi,maana hata huko nyuma enzi kadhaa ambazo nazo hazipo tunaziongelea tu kwa adhma,miaka ilikua ikihesabiwa kurudi nyuma yaani kinyumenyume,na baadhi ya sehemu walikua wakitumia majira ya hali ya hewa yaani baridi,joto,masika n.k...ili hali tu ufahamu ume mark,lakini hamna kitu kama hiko hakipo.View attachment 1075371
Leo ni tarehe 14 Shaabani mwaka 1440. Hii ni kalenda yetu sisi waislamu.Calender inayotumika sasa duniani kote ni KABLA AU BAADA YA MASIHI. nyingine zile ni za kuangalia vyumbani mwetu.leo hii ni mwaka 2017 A.D baada ya Kuzaliwa Christ. So muda wote ume base katika Ukristo au Majira ya KIKRISTO DUNIANI.
Kadri ww unavyomshangaa nzi kwa kuishi siku7 ndivyo kuna viumbe wanavyokushangaa ww kuwepo kwa sumni chache zaidi na kutoweka,muda au wakati ni adhma isiyo na uwepo haipo...bali ufahamu ndio unaohisi uwepo wa wakati lakini adhma iyo haipo maana tulipo tupo hatusogei na chochote wala kwenda popote kwa adhma lengwa ya muda,ili kukubaliana na haya...
Mpaka leo bustani(dunia)haitambuliki ina umri upi sahihi,maana hata huko nyuma enzi kadhaa ambazo nazo hazipo tunaziongelea tu kwa adhma,miaka ilikua ikihesabiwa kurudi nyuma yaani kinyumenyume,na baadhi ya sehemu walikua wakitumia majira ya hali ya hewa yaani baridi,joto,masika n.k...ili hali tu ufahamu ume mark,lakini hamna kitu kama hiko hakipo.View attachment 1075371
Umewai fikiri kuishi mahali ambapo no counting of time? I mean ipo tu ivo hakuna asubui mchana wala jioni, jua kali,kiangaz wala masika,yani ipo tu kweupe.Leo ni tarehe 14 Shaabani mwaka 1440. Hii ni kalenda yetu sisi waislamu.
Sasa hapo sijaona hoja ya msingi,wakati kila dini au nchi mathalani wachina wana kalenda yao,na sisi waislamu tuna kalenda yetu.
Lakini muda upo hata tangu mbingu na ardh na vyote vilivyomo havijaumbwa,sababu muda nao ni kiumbe.
Umewai fikiri kuishi mahali ambapo no counting of time? I mean ipo tu ivo hakuna asubui mchana wala jioni, jua kali,kiangaz wala masika,yani ipo tu kweupe.
Fikiria dunia yetu ingekua haizunguki jua wala mwezi obvious tungekua na maisha ya hivi coz no days no nights na tusinge tambua swala la muda,
God is so genious, nahic kuna mahali ktk universe ambao hawa experience kuhesabu muda they live forever

Mkuu andika au sema ninarekebisha siyo nalekebisha.kwa maelezo yako ambayo wewe umeyaita definition ya muda (kwa Leo kwenye aya ya kwanza) hiyo sio definition ya muda Bali ni si-units za muda (Vizio vya muda )
Nilikua nalekebisha hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo najua mipaka yangu,hata wakubwa zako hawawezi kuthibitisha ya kuwa hakuna sehemu ambayo haina muda.We mvivu cjawai kuona
Tafta definition ya muda mzee, make naona unafikiria muda ni saa yako inavyohesabu