Kachangamtoto
Member
- Dec 4, 2012
- 82
- 28
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuu....itakua shida kutambua apo, ila vifurushi vikiwa flatrate kutakua hakuna haja ya kuhama mtandao, hivyo itakua ngumu apo kuweka flatrateHii itasumbua sana kwa wateja wanaotaka kupiga offnet, itabidi vifurushi navyo vibadilike kabisa, kuwe na flat rate kwenye kupiga offnet na on-net
Let say mi nipo voda nimejiunga na kifurushi cha voda - voda, ntamtambuaje voda mwenzangu ili niweze kumpigia...?
Mwanzoni tulikuwa tunaangalia jinsi number zinavyoanzaa kwamfano 075,076 etc unajua huyu ni voda mwenzangu