Kuhama kutoka ualimu kwenda TASAC

Mussa_hassan

Member
Oct 6, 2017
51
41
Mi naomba kuuliza, kabla ya kuajiriwa kwenye ualimu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni za clearing and forwarding kwa muda wa miaka mitatu.

Sasa je, inawezekana kweli nikaomba kuhamia TASAC kutokana na experience yangu nikakubaliwa?

Au kuna vigezo gani vya ziada vitahitajika ili niweze kukubaliwa?
 
Una taaluma ya clearing & forwarding?
 
Mi naomba kuuliza, kabla ya kuajiriwa kwenye ualimu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni za clearing and forwarding kwa muda wa miaka mitatu.

Sasa je, inawezekana kweli nikaomba kuhamia TASAC kutokana na experience yangu nikakubaliwa?

Au kuna vigezo gani vya ziada vitahitajika ili niweze kukubaliwa?
Uzoefu tu hautoshi, je umesoma fani gani nje ya ualimu?
 
Kuhamia Unakotaka Kuna Mambo Mengi Sana
Kwanza Lazima Huko Unakotaka Kuwa Na Nafasi
 
Niliwatumia barua kuomba kuhamia kama Tallying Clerk, wakanitolea nje.

Back
Top Bottom