Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Ila kweli wanaume hatuumii kugongewa mke machungu unatoboka cash kumtunza mkeo kitu kinakuja kuipiga burebure
Ukiwaza usaliti unavunga ila ukiwaza ile iphone 14 jinsi ambavyo ulikuwa unaipenda ila ukajikana nafsi ukamnunulia yeye ila ndio hio kaitumia kuchati na mwizi mpaka wamefikia kulana. Unaona shabash
 
Uko sahihi kabisa tunachotakiwa wanaume kuacha kufunganisha nafsi zetu na sehemu za siri za wake zetu, tukiweza fundisha akili zetu ktk hili ziweze kuignore tutajikuta tunaishi maisha marefu mpaka tunaona wajukuu na vitukuu vyetu ila tukifatilia tutaishia kuona watoto wetu alafu wajukuu na vitukuu utavisikia ukiwa kaburini ni mkeo pekee tu ndo ataviona, hii technique wanawake wameimaster sana
Wamei master kwa wanaume mabwege mwanamke anachanganyikiwa mno usipoonesha kumfuatilia sana wala kumuonea wivu wa kijinga. Sanaaaaa!

Pia hata ukifa na yeye ukimuacha aone wajukuu otomatik atakuwa kashaenda age na utamu wote utakuwa uneshaula. Sasa mtu unamuacha ana 55+ hata ukifa si umeacha makombo tu?hata akiwaona vitukuu haiumi hataaaa
 
Mkitukosea mara nyingi huwa tunasema tumesamehe ila sio kweli, na hapo ndo kuchepuka kunaanza,
Kama ni kuchepuka chepukeni muwezavyo
Kupiga pigeni mutakavyo
Kutukana tukaneni mtakavyo ila mioyo yetu ikichoka utaitatuta kamba ujitoe roho yako,

Ishini nasi kwa akili kama hauna usioe
Hakuna mwenye akili timamu wa kujiua kisa uchi wa mwanamke, tena wa karne hii. Wanawake wazuri ni wengi na uchi ni verrrrry cheap. Usijidanganye
 
Walizidiwa akina Adam, Samson, Suleiman, Daudi nk ije kuwa wewe kima wa kizazi hikipwahahahaha
"Walizidiwa akina Adam, Samson, Suleiman, Daudi "

Kumbe hata kusoma biblia uko loose, hujui kusoma kwa ufahamu.

Suleiman na Daudi walizidiwaje akili na wanawake? Tuanzia hapo, na utoe maandiko kabisa kuthibitisha.

Pili, mbona huongelei mwamba iliyokuja kufuta hiyo dhambi ya Adam yaani YESU, unadhani why huyu hakushindwa na ke yeyote mpaka akatimiza mission yake?

Tukija kwa Paulo, Petro na miamba kama Yusufu, why hawa hawakushindwa na ke?
Yusufu alimshinda ke, tena mzuri mke wa mtawala mkubwa, aliyenawiri kwa kulishwa vizuri(siyo mla ugali maharage kama wewe)

Sembuse wewe mla ugali mtindi? huna maajabu yoyote ya kutoshindwa na me! Umejaa ugali kichwani mpaka miguuni
 
Kwa povu hili wewe kujiua sababu ya kei ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom