Kugongewa mke inauma sana

Yaani binadamu mwingine,Tena mtu mzima,ahamue kuliwa kiungo chake,harafu wewe uumie??!maumivu yanakuja kwa sababu umeiambia akili yako kwamba huyu ni mali yangu hakuna mwingine mwenye haki ya kugusa!!jiondoe kwenye hiyo equation,ni hisia Fulani hv unaipata ni kama vile kudhalauliwa na mtoto wako,au watu unaowasimamia kikazi,ambao umejiambia una stahili wakupe heshima,wasipoitoa,unajisikia vibaya,badilisha jinsi ya kufikiri,mke akichepuka,wewe jiambie huyu katoa kitu chake,hakinihusu,
 
mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili
Wanaume wenzako hawawekezi kwenye mbususu wekeza kwenye familia na Mali zako hazina ya moyo wako basi. Mana kale katundu huwezi kutembea nako anaweza akaaamua kwenda popote pale anapotaka na hawezi kukaacha eti unakafungia chumbani.


Ukiwa unamuwaza binadamu mwenzako awe mkamilifu wakati wewe mwenyewe tamaa imeumbwa nazo Ni ngumu mkuu.


Angalia lengo la kuoa. Pia bila ya kukaza roho huwezi kuwa na familia utakuwa bachelor na uzeeni utasumbua majirani utakufa Kama mnyama.

Kaza roho uwe na familia kwani akigongwa kimeondoka si kipo ama huwa kunapungua uzito
 
Umemchoka mwenzio unamtafutia sababu.
 
Sema ka roho kanauma sana ukiona umepigiwa, na shida hujui jamaa amepiga mapigo gani yani.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mikunjo aliyokunjwa aki imagine tu moyo paaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Unawaza
inamana mwambaa kakuzidi parefuuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…