Kugombaniwa na wanawake kwangu ni kawaida sana

kama nyerere angujua mzazi wako ni bora ange mpaka kesi ya ugonvi wa kambona au bibi titi
 
Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.

Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.

Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.

Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.

Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
Weweni me au ke
 
Mademu wananigomnania
Screenshot_20250306-230530.png
 
Kaa mbali na mimi, sihitaji mishanfazi ya JF. I got pretty of young beauty blood on the list.
Kwahiyo waliocomment wote wanakutaka kijana mrembo? 😂😂😂😂😂😂

Haya ufanye utume pesa ya tangazo umeweka wazi lilikua tangazo na mashangazi hututaki, mpatie Max hela yake
 
😂😂😂😂😂😂
 
Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.

Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.

Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.

Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.

Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
Utoto raha Sana.
 
Kaja kuwaringishia wanaume humu hamgombaniwi😀😀 nataman kujua umri wake Ili nilinganishe na maneno yake
 
Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.

Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.

Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.

Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.

Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
Mkuu unaweza ukatupa summary, Ulitaka kutuambia nini 🤔
 
Kama makampuni hasa ya kigeni na mashirika na taasisi yangekuwa YANAKUGOMBANIA, walahi tungekuonea wivu!
Kwa mbususu?! Hapana njemba, kuna jamaa alipewa kazi na mwaarabu kuwaridhisha wanawake zake wanne WAARABU, alipopotana upenyo alikimbia Dubai kama mwizi! Uzuri alivuna zaidi ya 400m/-! Huku akiwa ana afya mbaya sana ndugu! Wewe je?!
kuwa dildo una zani mchezo?
 
Back
Top Bottom