Kugegeda mara1 kwa wiki

Labda una kibamia au oversize. Kwa hiyo hafeel kama kuna kitu kimemuingia au unamuumiza kwa kugusa kizazi
 
Oh nooo...sometimes ni heri kuendelea kuwa na 'girlfriend' tu!
 
Mkuu uko serious? Mkeo anakupa mara moja kwa wiki? Hata mchepuko hauwezi kunipa mara moja kwa wiki!
 

ha ha ha ha ha haaa! umenichekesha, kwani ulikuwa unamnunua wakati unalipa mahali? lazima mkubaliane ninyi wawili kwamba mtaishije, huyo sio sex toy kwamba mda wowote awe tayari kushiriki hilo tendo kuforce mtu ni ubakaji.
 
Leo mwambie umepata msaidizi uone atakavyi kupigia magoti
 
Kugegeda mara kwa mara uimarisha ndoa,mianya ya kuchepuka hupungua,na tendo hilo hupelekea wenza kuwa karibu sana kwa mambo mengi,na hufungua milango ya maongezi baina ya wenza nakutatua matatizo mengi ndani ya ndoa,
 
Hiyo ndoa yenu mnaelewana sawasawa?

kabisa, na anaonyesha kunipenda kweli kweli, nikichelewa kurudi home lazima anipigie 'nimekumiss mmewangu uwahi kurudi' tatizo liko kwenye kutoa mzigo tu, mwanzoni nilikuwa nagegeda karibu kilasiku sijui nini kimemkuta
 
hebu mkaushie mpaka aombe mwenyewe....
ikipita wiki tatu kimya looo hapo shtuka

ukikausha unajikuta unajiumiza mwenyewe tu maana ye hana time
 

Mkuu ulimlipia shingp? Mahari mbona unamnyonya? Kias hiko daily ..
 
Tafuta mchepuko af huyo mpotezee na mpapuchi wake hata mwaka atajileta mwenyewe!!

hili nalo neno, huwa nafikiria kufanya hivyo ila huwa nashikwa na huruma sana maana huwa ananisisitiza sana nisiwe na michepuko tusije kuleta magonjwa kwa watoto tutaozaa, swala la mzigo anasema haoni haja ya kufanya Mara Kwa Mara maana nishakuwa wake (nipo naye siku zote). Sasa huwa najiuliza wanandoa wote huwa wanafanyiwa hivyo? je ni mimi tu mloho wa papuchi? Halafu nikuibie siri, tukianza game (ambapo ni za nadra) goli 1 au 2, hataki kusikia goli zaidi ya hizo
 
Pole mkuu...single boy twala mara zaid ya moja per week....
 

Hapana hiyo ya mahari nimeiweka kama kachumbari tu na mimi sio katili kabisa na yeye analijua hilo, nilivyokuwa namfanyia kabla ya ndoa ndivyo nnavyomfanyia sasa, na kipindi hicho alikuwa anataka mwenyewe bila kuombwa, sijajua nini kimemkuta, na swala la yeye kuwa na mchepuko sidhani, namwamini sana, kila akitaka kutoka hata kwa ishu zake huwa anapenda tutoke pamoja, angekuwa ana mchepuko naamini ningekuwa nimeshagundua, in short ananipenda sana ila shida ipo hapo tu kwenye bed, hayuko normal. Ila huwezi jua may be ananiektia, anaweza kuwa na mchepuko but Kwa siri sana
 
Haya madawa ya uzazi wa mpango nayo yanapoteza mamzuka sana kwa hawa wake zetu....Achilia mbali life style ya mwanamke kazi anazofanya unakuta za kuchosha, majukumu ya hme bado anadongo ananyonyesha so akifika bed ye anaamini ndo sehemu pekee ya kupumzika ila napo mtoto mkubwa nae anataka abebwe...So siyo lazima anamchepuko mambo mingi mno sana.....Mi nashukuru nikifikaga hme mastimu yote nimeyamalizia Gym hadi yeye ndo huwa analeta noma mbona unachunia mzigo na mimi kama sitaki nakamata kitu...Yaan hata baada week kitu bado imevimba kwa gemu alopata.So kupitisha wk kwangu kawaida sana ila nikikamata ni balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…