Kugegeda mara1 kwa wiki

utakuwa unatwanga tu kama mahindi humuandai hyo ni sababu kubwa sana ya wanawake kuchukia tendo
 
Reactions: nao
wanawake kuna kipindi unaweza usione umuhim wa kuoa wanakela sn
 
Tafuta kajumba kadogo acha kulalamika halafu unakula taratibu hakijua huna mpango nae itamuuma sanà
 
utakuwa unatwanga tu kama mahindi humuandai hyo ni sababu kubwa sana ya wanawake kuchukia tendo

Pia kuna tatizo la mtandao unaowezesha mawacliano kati yao. Coz kama mke haenjoy kuna jinsi atapeleka message zikamfikia jamaa. Kama anatuma basi jamaa hazimfikii, ama zikifika zinakuwa zimeharibika beyond decoding au mkewe anaziencode vibaya.
Watu wanatoroka kwao kutafuta na jamaa anabaniwa upaja? Something is seriously wrong!
 

Hizo bold zinaashiria (samahani kama nakukwaza) wewe ni mtu mkatili katili. Unacompare vipi kulipa mahari na kufanya hicho kitendo? Pili unaonyesha kubembeleza , kumwandaa mwanamke kwako hakupo kabisa eti ukijaribu kuforce? Tendo hilo ni la hisia , laanzia mbali hata kama mahusiano na maongezi yenu kama hampo pamoja katu hawezi kuwa na hamu.
Pia , yawezekana kabisa haridhiki na jinsi mnavyofanya na huonyeshi ushirikiano zaidi ya kujiridhisha wewe . Mwanamke akiwa na hisia hizo tu kuwa unapenda sex kwa ajili ya wewe mwanaume kupata haki baasi umeondoka mantiki nzima.
Na ujue kudadisi kama amechoka vaa viatu vyake anzisha maongezi umechoka na nini mpenzi? nikusaidiaje kupunguza uchovu nk ila kwa mtazamo huu wa enzi za mawe eti nimelipa mahari - wanawake wana safari ndefu sana - ndoa zimekaa kama jela .
 

You are very right
 
pole sana bosi... hiyo kwa hiyo ratiba hauna tofauti na masingle boy wa huku kwetu!!!
 
We nae labda unamchosha yani ukipanda tu dakika 2 nyingi uko taabani, mwenzio hafurahii tendo sa atakupaje??? wikiendi hii namaanisha kesho, mtoe out msifie alivyopendeza, mchezee chezee nywele, yani mpe mahaba yale ulokuwa unampa wakati wa kufukuzia kisha mlale huko huko tuone kama atakubania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…